Kipande kidogo cha nyama chenye thamani zaidi duniani

Je, ubongo haujaundwa na tissue?

Je, ubongo haujaundwa na tissue?
Ukiachana na hizo 60% za Fats, the remaining 40%, ubongo ni mchanganyiko wa maji, protein, carbohydrates na salt hivyo ubongo wenyewe sio musle/misuli.

Ila, unajumuisha mishipa ya damu na nerves including neurons na vitu vinafahamika kama glia cells. Sasa hizi huitwa "soft tissues" lakin sio kwa maana ile ya misuli kama ilibyo katika nyama ya kawaida...

So ubongo si kipande cha nyama mkuu.
 
Wapi nimesema ubongo ni misuli.
 
Wapi nimesema ubongo ni misuli.
hapa
Screenshot_20240711_151727_Samsung Internet.jpg
 
Ubongo ni sehemu muhimu ya mwili inayojumuisha tishu za neva na seli za ubongo.
 
Kama unabishana kuonekana mjuaji sawa, ila kama unataka kujifunza basi hayo niliokuambia nenda kaya verify.
Nikueleza hayo kwa kutumia knowledge nilio acquire 13 years back kama mwanafunzi wa pcb.
Labda huenda mambo yamebadilika now days maana mimi kwasasa ni mtu wa computers tu
 
Tatizo mnakurupuka kubishana vitu ambavyo hamjafanyia tafiti.
Nenda kasome tena.
Mkuu naomba niishie hapa. Sikua na lengo la kubishana na wewe wala sikulenga kukufanya uonekane hujui unachosema.

Ukileta mijadala jukwaan cha kwanza kuwa tayar ku un-learn what u think u know, then re-learn from your colleagues.
Ndivyo wenye akil hufanya ili kuzid kupata maarifa
 
Kama unabishana kuonekana mjuaji sawa, ila kama unataka kujifunza basi hayo niliokuambia nenda kaya verify.
Nikueleza hayo kwa kutumia knowledge nilio acquire 13 years back kama mwanafunzi wa pcb.
Labda huenda mambo yamebadilika now days maana mimi kwasasa ni mtu wa computers tu
Huo ndiyo ukweli, sijawai kubishana, na pia "I'm not an Ego Guy".
 
Achana nae huyu mkuu, kagoma kuchutama maana uungwana hauwezi. Sisi hatubishan tunamuelekeza yeye anakaza shingo
Mbona mnaleta taarabu kwenye vitu ambavyo vina evidence.

Nendeni mkasome maarifa mliyo-acquire miaka 13, yameshindwa kuwasaidia.
 
Achana nae huyu mkuu, kagoma kuchutama maana uungwana hauwezi. Sisi hatubishan tunamuelekeza yeye anakaza shingo
Yeah kweli,ulielekeza vizuri sana na ulichosema ndio sahihi.Hata mimi sio daktari lakini elimu yangu ya Biology advance inatosha kabisa kujua ubongo sio nyama.
 
Back
Top Bottom