macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Wakati mwingine huwa nasema Tanzania ni nchi yenye watu wajinga kuliko zote. Hivi mtu mpumbavu namna hii anawezaje kukejeli maelfu ya vijana waliouawa na bado akabaki mitaani kuishi na raia? Hawa wa$.enge tunawalea ndiyo maana wanapata ujasiri wa kuharisha jibrish kama hizi. Tungekuwa tunajitambua huyu anahama mtaani na na hatarudia tena ujinga wake.Ila Mungu ni Mkubwa na wa ajabu sana. Ameumba viumbe wa kila aina.