PostGE2025 Kipangula: Urushe video na Picha za matukio ya Oktoba 29 ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ila Mungu ni Mkubwa na wa ajabu sana. Ameumba viumbe wa kila aina.
Wakati mwingine huwa nasema Tanzania ni nchi yenye watu wajinga kuliko zote. Hivi mtu mpumbavu namna hii anawezaje kukejeli maelfu ya vijana waliouawa na bado akabaki mitaani kuishi na raia? Hawa wa$.enge tunawalea ndiyo maana wanapata ujasiri wa kuharisha jibrish kama hizi. Tungekuwa tunajitambua huyu anahama mtaani na na hatarudia tena ujinga wake.
 
Bongo wagonjwa wa akili ni wengi..
Hivi sababu ni kula sana ugali ama elimu yetu hii mbovu mbovu?
 
Watanzania bado hatujajitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…