Kipanya aibukia kwa Spika Ndugai

Kwakweli mambo ya nyakati huwa ni magumu sana, fikira za mtu kuzitafsiri huwa ni ngumu sana, Mungu atuhurumie sisi wa TZ maana yasemwayo na matendo ni vitu 2 tofauti, na kukosoa kwetu ni kosa la jinai, kuunga mkono juhudi ni aina ya maisha ya siasa za TZ kwa sasa.
 
Kitu gani hapa huelewi?
 
Mzee baba kwa ukali wa hao watoto 19, aisee katiba lazima ipindishwe kwa ghalama yoyote ile. Halima ndiyo kamaliza kazi pale kabisa pale shingoni .... na yule mwenzie sijui nani yeye kaamua kudeal na sikio la mzee baba - ha ha ha ah
 
Kwani covid ilishapona?
 
hajaziba ila yamevalishwa hereni
Hapana waulize wenzako...Hereni za nini?! Hilo ni fumbo kuwa wateule wanampigia kelele baba awape msaada, baba hawasikii au hataki kuwasikia kisa kaziba masikio, jiulize Ndugai avae hereni kwa sababu gani?! Jaribu kuwa Great thinker ndugu...
 
Picha zina tafsiri pana sana...

Hapo wabunge wote wa chama tawala na upinzani wanampetipeti spika, ili wapate assist...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…