Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 653
Mkuu huwa kuna lugha za picha!Wapi imesemwa kwamba huyo ni Ndugai??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwa kuna lugha za picha!Wapi imesemwa kwamba huyo ni Ndugai??
Mkuu huwa kuna lugha za picha!
Hiyo picha inahitaji just minimum IQ kuielewa!Lugha ya picha sio universal
Tuna bunge la viti maalum CCMAtaitwa kwenye kamati ya chama ya kinga na sheria maana this time hatuna bunge
Ila angalieni masiko yake, kaziba, hata hasikii kelele zao!
Huu wimbo 'daddy finger'??
Kuna alielewa??
😂😂😂😂😂
Kwani covid ilishapona?Mzee baba kwa ukali wa hao watoto 19, aisee katiba lazima ipindishwe kwa ghalama yoyote ile. Halima ndiyo kamaliza kazi pale kabisa pale shingoni .... na yule mwenzie sijui nani yeye kaamua kudeal na sikio la mzee baba - ha ha ha ah
Hapana waulize wenzako...Hereni za nini?! Hilo ni fumbo kuwa wateule wanampigia kelele baba awape msaada, baba hawasikii au hataki kuwasikia kisa kaziba masikio, jiulize Ndugai avae hereni kwa sababu gani?! Jaribu kuwa Great thinker ndugu...hajaziba ila yamevalishwa hereni
HaaaaaYule msanii maarufu wa michoro ya katuni au vibwengo kama kwetu sisi uswazi tunavyo viita ameibukia mjengoni kwa Ndugai.
Binafsi nimeshindwa kuitafsiri hiyo picha nini ina maanisha,hivyo wadau wenye ujuzi wa haya mambo tunaomba mtujulishe.
View attachment 1638090
Sio wimbo wa chekechea huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu wimbo 'daddy finger'??
Kuna alielewa??
Kipanya ni akili kubwaYule msanii maarufu wa michoro ya katuni au vibwengo kama kwetu sisi uswazi tunavyo viita ameibukia mjengoni kwa Ndugai.
Binafsi nimeshindwa kuitafsiri hiyo picha nini ina maanisha,hivyo wadau wenye ujuzi wa haya mambo tunaomba mtujulishe.
View attachment 1638090