Kipanya anatuonya, safari ya pili inaanza na bundi

Huo ni mtazamo wa mtu mmoja

Usiwe na akili maji

Hata Wewe unaweza kuweka mawazo kwenye picha

Tatizo stress zimekujaa hata uwezo wa kufikiria unapungua
 
Na bundi hula panya
 
Hahaha hiyo barakoa aliyovaa huyo kipanya ni babkubwa.
 
Huo ni mtazamo wa mtu mmoja

Usiwe na akili maji

Hata Wewe unaweza kuweka mawazo kwenye picha

Tatizo stress zimekujaa hata uwezo wa kufikiria unapungua
Mkuu mpaka mapapai yana kolona sasa tutaacha kuwa na stress?
 
Agiza kolonya la balidi sana nitalipa

Jr[emoji769]
 
Bundi ni jiwe wanaosafiri ni watz
 
Msafiri ameshushwa kwenye ufukwe wa ziwa
 
Ni safari ya pili inaanza, au ni ameshuka kituoni akitoka safari ya kwanza.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…