Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kuwa wanajaribu kuzuia maji kwa mchanga na unga.Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.
Katuni yenyewe hii hapa!
View attachment 3334490
NI hatari snKuwa wanajaribu kuzuia maji kwa mchanga na unga.
Hii njia ina konakona nyingiii sijui kama CCM watafikaNimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.
Katuni yenyewe hii hapa!
View attachment 3334490
Kama wajinga wanaongoza nchi, ebu jiulize wewe ambaye hauongozi nchi akili yako ikoje!CCM ni wajinga sn
Sawa kabisa...Anamaanisha chadema na kuwekewa au kupitia vizingiti vingi lakini bado inachanja mbuga.
Sasa hili joka lilivyo bwege!.... Wapi kivuli hapo?Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.
Katuni yenyewe hii hapa!
View attachment 3334490
Which is very good. He is at liberty to see issues with an open mind; which does not mean he cannot tell evil from good.Kwangu mie ninaemjua Kipanya, from his humble beggining-He is an Independent observer and has an Independen mind...
Hana Uchadema wala Uccm
Mnasaidiwa na ushirikina tupuKama wajinga wanaongoza nchi, ebu jiulize wewe ambaye hauongozi nchi akili yako ikoje!
Mpaka umeweza kufahamu kuwa wajinga Ndio wanaoongoza hakika una hekima na maarifa kuwazidi hao wajinga. Mana mjinga hawezi kumuona mjinga mwenzie.Kama wajinga wanaongoza nchi, ebu jiulize wewe ambaye hauongozi nchi akili yako ikoje!
Sawa na la kibisa!Hili joka ni tofauti na lile la Kibisa?