Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1627557669689.png

Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
 
Haha unanikumbusha ,kuna mjomba wangu alichambia Sabuni ya Maji ilikuwa kwenye kidumu lita5,
Sasa pale toilet hakuona maji zaidi ya tissue paper,
Pembeni akaona hilo dumu Sabuni ya maji yakusafisha choo,wacha achambe
😂😂😂😂😂😂😂😂mashikolo
 
Sasa nimeanza kuamini ule msemo usemwao "ni heri mtu akuone unaoga kuliko akuone ukiwa unakata gogo" jamaa kaweka sura ya kaz aisee.
 
Haha unanikumbusha ,kuna mjomba wangu alichambia Sabuni ya Maji ilikuwa kwenye kidumu lita5,
Sasa pale toilet hakuona maji zaidi ya tissue paper,
Pembeni akaona hilo dumu Sabuni ya maji yakusafisha choo,wacha achambe
Ilikuaje baada ya hapo?
Hahaha
 
Kwa akili za kawaida tu mzigo auwezi kupita hapo kwenye hiyo bottle trap!!
Nadhani pia alikuwa kalewa, au ushamba
 
Back
Top Bottom