Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

Haha unanikumbusha ,kuna mjomba wangu alichambia Sabuni ya Maji ilikuwa kwenye kidumu lita5,
Sasa pale toilet hakuona maji zaidi ya tissue paper,
Pembeni akaona hilo dumu Sabuni ya maji yakusafisha choo,wacha achambe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mashikolo
 
Sasa nimeanza kuamini ule msemo usemwao "ni heri mtu akuone unaoga kuliko akuone ukiwa unakata gogo" jamaa kaweka sura ya kaz aisee.
 
Haha unanikumbusha ,kuna mjomba wangu alichambia Sabuni ya Maji ilikuwa kwenye kidumu lita5,
Sasa pale toilet hakuona maji zaidi ya tissue paper,
Pembeni akaona hilo dumu Sabuni ya maji yakusafisha choo,wacha achambe
Ilikuaje baada ya hapo?
Hahaha
 
Kwa akili za kawaida tu mzigo auwezi kupita hapo kwenye hiyo bottle trap!!
Nadhani pia alikuwa kalewa, au ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…