Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hahaahaha inaumaaaaa! Bro hio sio Chuchu! DahHalafu huyu Broo hajui hata utaratibu wa kukamua
Acha mkamuliwe mbupu hadi mwisho. Long live shujaaMwigulu Mungu anakuona na misifasifa yako ya kishamba
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Anakamua dume..ππAnakamua mbupu
Nani sasa??Anakamua dume..ππ
Umesahau kofia..Huyo mkamuaji ukiangalia rangi ya shati rake na hizo gumboots zake utaelewa,alafu kizibao kinafanana na rangi ya huyo ng'ombe alafu icheki hiyo rangi ya hiyo suruali.Kwenye fasihi kila kitu kinabeba dhana fulani.