Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Wamekosa kabisa vyanzo vya kupata maziwa kwa wingi hadi mwigul analazimisha mbinu mbadala ameikamata maksai anaikamua chululuu.
 
Huyo mkamuaji ukiangalia rangi ya shati rake na hizo gumboots zake utaelewa,alafu kizibao kinafanana na rangi ya huyo ng'ombe alafu icheki hiyo rangi ya hiyo suruali.Kwenye fasihi kila kitu kinabeba dhana fulani.
Umesahau kofia..
Na rangi ya ndoo?
 
Back
Top Bottom