Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

Kipanya: Broo! Hiyo sio chuchu!

ndo Kwanza mwaka 2022.bado miaka 2 na miezi kadhaa ifike 2025.
Alafu bado 5.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hiiii baghosha
 
Ila imekuwa too much sasa haijawahi kutokea nchini yaani mwananchi kila kona anayogeuka anakula za kichwa
 
Kwa mujibu wa katuni ya KP ya Leo 30 August 2022 anasema "Broo! Hiyo sio chuchu". Huyu Broo ni nani? Na kwanini asikamue "chuchu"? Anyway sijui anakamua nini Sasa?! Shukrani KP.

View attachment 2339432

Huyo broo ni mtu mmoja wa serikalini anatukamua kodi huyo mnyama ni sisi wananchi yeye koana anakamua chuchu kumbe ni mbupu zetu anang'oa ili apate kodi
 
Dah ila kaongea kwa uchungu sana, halafu hiyo kauli inaaonyesha hana namna ya kumfanya mkamuaji
 
Dah ila kaongea kwa uchungu sana, halafu hiyo kauli inaaonyesha hana namna ya kumfanya mkamuaji
 
Back
Top Bottom