Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...a.k.a vichwa vyetu watz ni mapipq hahahaKila Mtu Abebe Chake Anachoweza
View attachment 2678191Umemuelewa na anamaanisha nini?
Hahahaha halafu vichwa vyote Ni mapipa matupuKipanya mjinga sana yaani hapo yule mwanamke mwenye blauzi ya njano ni rais, na ndio alikua anaongoza msafara, wale wengine wasaidizi wake na kuna wananchi hapo, ghafla rais anaendelea kwenda mbele huku wasaidizi kila mmoja kamwacha ameamua kwenda uelekeo anaojua yeye, na wananchi wameamua kushika njia yao, katuni itakayofuata itaonesha rais yuko mbele peke yake anawaza kurudi nyuma kuungana na wasaidizi wake na wananchi