Kipanya katika ubora wake

View attachment 2678191Umemuelewa na anamaanisha nini?

Kipanya mjinga sana yaani hapo yule mwanamke mwenye blauzi ya njano ni rais, na ndio alikua anaongoza msafara, wale wengine wasaidizi wake na kuna wananchi hapo, ghafla rais anaendelea kwenda mbele huku wasaidizi kila mmoja kamwacha ameamua kwenda uelekeo anaojua yeye, na wananchi wameamua kushika njia yao, katuni itakayofuata itaonesha rais yuko mbele peke yake anawaza kurudi nyuma kuungana na wasaidizi wake na wananchi
 
Hahahaha halafu vichwa vyote Ni mapipa matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…