Kipanya Katunix Ya leo Inamaanisha Nini ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani?

Kwahyo Mnataka Kuivimbia Marekeni wakati hatuna Uwezo wa Kujiendesha Bila Wao?
 
Kwahyo Mnataka Kuivimbia Marekeni wakati hatuna Uwezo wa Kujiendesha Bila Wao?
Gentleman,
surely,
marekani anaweza kuielekeza nchi yoyote cha kufanya hali ya kua ya kwake yanamshinda?

Yaan kabisa aache kudeal na ya kwake aanze kubabaika na ya nchi nyingine right?

Kwani,
ni nini maana ya America first ya Donald Trump gentleman?🐒
 
Mmmh yanatafakarisha uliyoandika!!
 
ACT acheni kuwa wa UVUGUVUGU..Hali ya sasa ya siasa nchini inataka UNGANGARI(Moto)
 
Hiyo zambarau ni ACT huo udongo wa kaki ni Chadema. Act inatirika kwenda msitu wa kijani ambao ni CCM yaani inaumwagilia ili ukue zaidi. Kwa hiyo ACT inapitia udhaifu wa CDM kuineemesha CCM
 
LInapokuja suala la kukinukisha binafsi naamini ACT wanaweza kufanya kitu ila sio Chadema, CHadema imejaa keyboard warriors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…