Kipanya: Kila mtu aweke title yake jinsi alivyoelewa

Rahisi kuingia, ngumu kutoka na ukishangaa unaweza usitoke ukiwa hai!
 
Hii gari inaweza kuwa Chama, Mtu/Kiongozi, Nchi, Kundi la Watu...

Katika safari yao wanapitia hali isiyo ya kawaida [Barabara imekatika chini - hanging on a thread] lakini bado Kuna tumaini la kuvuka upande wa pili. Huo mto uko sehemu moja maana yake situation wanayopitia is reversible.

Issue ni support kutoka kwenye hilo shimo na kuombea barabara [lami] isikatike.

Mchoro huu hauna maana moja.
 
CDM inapitia misukosuko kwenye No Reform yao, baada ya Lissu kutiwa ndani kaacha gap kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…