Hilo gari ni nchi, hiyo barabara ni katiba na hilo korongo ni vikwazo ama matatizo ambayo yanapitikana kwenye katiba!, ipo hivi ili hilo gari liweze kupita hapo kwa urahisi ilitakiwa warekebishe katiba (wajenge daraja).. lakini kwasababu ya ukaidi wameendelea kujikuta kwenye mkwamo na haifahamiki aidha watavuka salama ama wasivuke salama!.. so it's fifty fifty.