Kipanya leo na kibonzo cha mgombea aliyefungiwa kufanya kampeni kwa siku saba

Mmmh huyu kipanya ngoja tuone kama. Yule mkuu wa mapolisk hatatoa tamko na kumataka hule msemaji wa sirikali kumfungia huyu panaya kuchora picha zenye ziko na maudhui ya nayokari iana Ukweli
 
Huyu Kipanya na yeye bhana wenzake wako lab wanadesign ma Bugatti chiron yeye yuko kupiga umbea na vikatuni, bure kabisa unapoteza talanta mtu mzima, ...

 
Zamani kulikuwa na mwimbo wa taarabu una maudhui “Kama unaonea donge nyota yangu panda mawinguni ukaiwekee zege.
 
Mwana katuni maarufu hapa nchini maarufu kama Kipanya leo hii kaja na majibu kwa polisi wetu.

Ebu tazama huu ujumbe
 
Huyu Kipanya na yeye bhana wenzake wako lab wanadesign ma Bugatti chiron yeye yuko kupiga umbea na vikatuni, bure kabisa unapoteza talanta mtu mzima, ...

View attachment 1597466
Mwambie ujumbe huo JPM daktari wa kemia,wenzake wako lab wanafanya tafiti na majaribio yeye yuko majukwaani na siasa!
Waambie hayo maprofesa,madaktari kwa taaluma ambao awamu hii wamekimbilia kwenye siasa!
Kumwambia hayo Kipanya aliyejipatia umaarufu kwa sanaa ya uchoraji ni dalili ya kukosa hoja!
 
Kwanini unamshauri adesign magari na sio kitu kingine mfano chupi za wanawake wenye makalio makubwa kwa nakadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…