Zanzibar 2020 Kipanya na mtia nia Urais Zanzibar, Salum Jecha

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Leo tena yule nguli wa habari za vikatuni Kipanya ameibuka na Mgombea wa Urais kule visiwani.

Mimi simjui ni nani lkn wenye ujuzi wa kusoma picha basi tafadhali mtujuze.

Nitaikumbuka sana zenji ya 2015 kabla ya uchaguzi kuelekea uchaguzi na baada ya Uchaguzi.
Screenshot_20200622-110844.jpeg
 
Leo tena yule nguri wa habari za vikatuni Kipanya ameibuka na mgombea wa urais kule visiwani.

Mimi simjui ni nani lkn wenye ujuzi wa kusoma picha basi tafadhali mtujuze. View attachment 1485818
Ahahahahah Jecha S Jecha mzee wa ku nullify matokeo, hii inatudhihirishia kwamba tume zetu za uchaguzi haziko huru zimejaa makada tupu wa ccm, halafu huku ccm wakisisitiza uchaguzi huru na wa haki wanafiki wakubwa
 
Sijui kama huyu mzee kabla ya kuamua kwenda kuchukua form alishauriwa, maana kawavua nguo wakubwa watoa maamuzi
Ahahahahah Jecha S Jecha mzee wa ku nullify matokeo, hii inatudhihirishia kwamba tume zetu za uchaguzi haziko huru zimejaa makada tupu wa ccm, halafu huku ccm wakisisitiza uchaguzi huru na wa haki wanafiki wakubwa
 
Halafu Kipanya anatuambia anaishi kwa hofu wakati katuni zake anachora kama kawaida.
 
Leo tena yule nguli wa habari za vikatuni Kipanya ameibuka na Mgombea wa Urais kule visiwani.

Mimi simjui ni nani lkn wenye ujuzi wa kusoma picha basi tafadhali mtujuze.

Nitaikumbuka sana zenji ya 2015 kabla ya uchaguzi kuelekea uchaguzi na baada ya Uchaguzi. View attachment 1485818
😆😆😆
 
Leo tena yule nguri wa habari za vikatuni Kipanya ameibuka na Mgombea wa Urais kule visiwani.

Mimi simjui ni nani lkn wenye ujuzi wa kusoma picha basi tafadhali mtujuze.

Nitaikumbuka sana zenji ya 2015 kabla ya uchaguzi kuelekea uchaguzi na baada ya Uchaguzi. View attachment 1485818
Kasema alikuwa mwenyekiti wa tume wa uchaguzi 1915 hadi 1918
 
Jecha alitwa Ikulu akakuta karatasi imeshachapwa na kupewa kuisma mbele ya Kamera

Matokeo yalifutwa na Kikwete, yeye alipewa kaz ya kutangaza
 
Asante sana mkuu Pohamba kwa ufafanuzi tosha kutoka viunga vya ccm
Jecha alitwa Ikulu akakuta karatasi imeshachapwa na kupewa kuisma mbele ya Kamera

Matokeo yalifutwa na Kikwete, yeye alipewa kaz ya kutangaza
 
Ahahahahah Jecha S Jecha mzee wa ku nullify matokeo, hii inatudhihirishia kwamba tume zetu za uchaguzi haziko huru zimejaa makada tupu wa ccm, halafu huku ccm wakisisitiza uchaguzi huru na wa haki wanafiki wakubwa
Yaliyojificha yaibuka. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu utaumbuka. Jecha Oyeeee!
 
Back
Top Bottom