Zanzibar 2020 Kipanya na mtia nia Urais Zanzibar, Salum Jecha

Zanzibar 2020 Kipanya na mtia nia Urais Zanzibar, Salum Jecha

kwani katuni kama hii yaweza kumuokotesha Mkuranga kama alivyookotwa Lwajabe ?
Sijui mwenyewe Masoud maana yeye ndiye adai kwamba anaishi kwa hofu na kisa hizo katuni zake, sasa sijajua hizo katuni zina madhara gani kiasi cha kuhatarisha maisha yake na hadi kuishi kwa hofu ingawa bado anaendelea na hizo katuni.
 
Wa chamwino huyo sijampata mkuu pls hata weka kwa code tu itatosha
Watoto wa ma Rais wastaaf na mgmbea wa Chamwino wanamchafua Comrade kwa Jecha kwa kuhofia nguvu yake
 
Sijui kama huyu mzee kabla ya kuamua kwenda kuchukua form alishauriwa, maana kawavua nguo wakubwa watoa maamuzi
Kwa kosa lake la kushusha hadhi ya Rais, mapema tu jina lake limewekwa pembeni bila hata ya kujadiliwa. Naamini ingekuwa vyema hata fomu yake ingechanwa chanwa bila hata ya kuikagua.
 
Back
Top Bottom