Sijui mwenyewe Masoud maana yeye ndiye adai kwamba anaishi kwa hofu na kisa hizo katuni zake, sasa sijajua hizo katuni zina madhara gani kiasi cha kuhatarisha maisha yake na hadi kuishi kwa hofu ingawa bado anaendelea na hizo katuni.kwani katuni kama hii yaweza kumuokotesha Mkuranga kama alivyookotwa Lwajabe ?
Asante sana mkuu Pohamba kwa ufafanuzi tosha kutoka viunga vya ccm
Wa chamwino huyo sijampata mkuu pls hata weka kwa code tu itatosha
Wajinga SISIJecha salum Jecha. Yaani Watanzania mazezeta kwelikweli.
Kwa kosa lake la kushusha hadhi ya Rais, mapema tu jina lake limewekwa pembeni bila hata ya kujadiliwa. Naamini ingekuwa vyema hata fomu yake ingechanwa chanwa bila hata ya kuikagua.Sijui kama huyu mzee kabla ya kuamua kwenda kuchukua form alishauriwa, maana kawavua nguo wakubwa watoa maamuzi