Kipanya na ujumbe

Kipanya na ujumbe

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Kipanya leo kaonesha kuwa figa 1 ni kubwa kuliko mengine hivyo sufuria lazima litadondoka tu
6921665d2a394192300c54be038412bf.jpeg
 
Nchi ile ya kusadikika ina mihimili mitatu, lakini kwa muonekano wa hiyo mihimili mitatu.... Kuna mhimuli mmoja umekuwa kama mhimili mkuu kwasababu umezidi mihimili mingine miwili. Kwahivyo hakuna usawa kwenye mihimili hiyo hivyo mambo lazima yakae tenge
 
Aibu sana hii, wasomi na wazee wenye heshima, zao kimyaaa
 
Back
Top Bottom