Kipanya wa leo kaja kihivi

Kodi zimezidi kuwa utitiri, leseni nyingi hadi nafasi ya kuweka picha ya Rais hakuna.

Hili naunga mkono 100%, ofisini kwetu hadi tulivunja sehemu ya leseni tukaongeza nafasi na hivi sasa hadi tunazibebanisha.
Umeanza kutoa siri za kazini kwako?...
 
Kodi zimezidi kuwa utitiri, leseni nyingi hadi nafasi ya kuweka picha ya Rais hakuna.

Hili naunga mkono 100%, ofisini kwetu hadi tulivunja sehemu ya leseni tukaongeza nafasi na hivi sasa hadi tunazibebanisha.
Kumbe! Nilielewa tofauti kabisa
 
Kodi zimezidi kuwa utitiri, leseni nyingi hadi nafasi ya kuweka picha ya Rais hakuna.

Hili naunga mkono 100%, ofisini kwetu hadi tulivunja sehemu ya leseni tukaongeza nafasi na hivi sasa hadi tunazibebanisha.
Hahahaha
 
Licha ya picha yake kukosa nafasi bado hayupo ofisini,Maanake hafanyi kazi yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…