Kipanya wa leo kaja kihivi

Kipanya wa leo kaja kihivi

Duuuuuh kwanini huyu mama wote wanamtabiria mabaya tuuu.... amewakosea nini lakini jamani??????? Inakera sasa..
Ufisadi wake unamponza!! Utauzaje bandari za Tanganyika bila Ridhaa ya wenye mali?Laana hii haimuachi salama!
 
Kodi zimezidi kuwa utitiri, leseni nyingi hadi nafasi ya kuweka picha ya Rais hakuna.

Hili naunga mkono 100%, ofisini kwetu hadi tulivunja sehemu ya leseni tukaongeza nafasi na hivi sasa hadi tunazibebanisha.
Tukianzisha DOGE yetu huru nyingi zitafutwa
 
Serikali iachane na mambo ya kutundika maleseni ofisini. Kila kitu siku hizi kipo digital, kama ni leseni zipatikane Tausi huko, sio ukutani.
 
Jana Mbeya waetangaza kukutana na leseni feki madukani, na wamepata hadi startionery zinazotengeneza leseni hizo. Hiyo system ya leseni feki ipo hadi leo, tena wahuni wanatengeneza hadi QR code safi kabisa, sababu ya leseni feki nyingi ni TRA, watu wanadaiwa TRA hivyo inawalazimu watengeneze lesenj feki.

TRA angalieni namna ya kulegeza masharti, watu waweze maliza migogoro ya kodi, mboreshe system iwe rafiki zaidi, returns zifanyike mara nne kwa mwaka, na sio kila mwezi.
 
Ila kiukweli mtu ukitaka kufanya jambo vibali vimekuwa vingi sana aisee
 
Duuuuuh kwanini huyu mama wote wanamtabiria mabaya tuuu.... amewakosea nini lakini jamani??????? Inakera sasa..
Kama kitu hujakielewa, unanyamaza. Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Mama gani ametabiriwa mabaya kwenye hiyo katuni?
 
Back
Top Bottom