Unapaka tu kama mafuta ya nywele ya kawaida asubuhi na jioni hakikisha unapaka kwenye ngozi ya kichwa.Namna ya kutumia tafadhali
Niamini mimi mkuu kwangu kimeota na sifanyi tangazo la biashara ndo maana nimemwambia tu direct atumie mnyonyo. Nilikuwa na kipara na sasa nywele zimeota mda mrefu tu. Ila awe mvumilivu ni jambo linalochukua miezi kadhaa.Acha kumtia wazimu mkuu kipara kabisa kiote nywele hahahahah
Sio kwa dunia hii ya sasa mkuu, nilikuwa na kipara na nywele zimeota kabisa, mafuta ya mnyonyo ni tiba tosha. Pia asivae kofia kuficha kipara maana kofia pia inaongeza sana kasi ya ukuaji wa kipara.Nadhani hakuna dawa ya upara na kama ingekuwepo wale wadosi wenye vipara na mapesa wala tusingewaona navyo.Hapo cha msingi ni dongo tu mwenyewe nina upara siku hizi kila wiki ni kunyoa na kadri siku zinavyosidi kusonga nacho kinakuja kwa kasi ina maana huko mbele nitanyoa baada ya siku mbili
hapa ndipo napata wasiwasi na fikra zakoPia asivae kofia kuficha kipara maana kofia pia inaongeza sana kasi ya ukuaji wa kipara
Hapa nakoelekea wataniambia nile majani.Uwe unapaka mavi yakuku yale meusi kila siku mkuu.... Kitaanza kuota nywele wala usijali kabisa?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mbaya zaidi , tabia Ya kipara ukipenda kunyoa mara kwa mara na chenyewe ndio kinaongezeka ,Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Mtoa thread bado hamjamuelewa yawezekana kipara kinaanza afu bado anaona hadhi ya kuwa nacho bado
Nenda kwa mgangaSikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.
Please help.
Nina swali Mkuu..Kubali matokeo yaishe.
[emoji23][emoji23]kama makusudi vile..na chenyewe kinaonyesha maguvu,hivi ni kwa nini?Mbaya zaidi , tabia Ya kipara ukipenda kunyoa mara kwa mara na chenyewe ndio kinaongezeka ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenywe nilijua hvyo hvyoUlivyoandika 'kipara kimeanza kuota' nikajua ulikuwa nacho sasa kimeanza kupata nywele[emoji23]
Mafuta ya mnyonyo yanapatikana wapiSio kwa dunia hii ya sasa mkuu, nilikuwa na kipara na nywele zimeota kabisa, mafuta ya mnyonyo ni tiba tosha. Pia asivae kofia kuficha kipara maana kofia pia inaongeza sana kasi ya ukuaji wa kipara.
PESA PESA PESA...Rooney alikuwaga na kipara lkn siku hizi ananyoa kiduku!!