Kipara kimeanza kuota

Kipara kimeanza kuota

Acha kumtia wazimu mkuu kipara kabisa kiote nywele hahahahah
Niamini mimi mkuu kwangu kimeota na sifanyi tangazo la biashara ndo maana nimemwambia tu direct atumie mnyonyo. Nilikuwa na kipara na sasa nywele zimeota mda mrefu tu. Ila awe mvumilivu ni jambo linalochukua miezi kadhaa.
 
Nadhani hakuna dawa ya upara na kama ingekuwepo wale wadosi wenye vipara na mapesa wala tusingewaona navyo.Hapo cha msingi ni dongo tu mwenyewe nina upara siku hizi kila wiki ni kunyoa na kadri siku zinavyosidi kusonga nacho kinakuja kwa kasi ina maana huko mbele nitanyoa baada ya siku mbili
Sio kwa dunia hii ya sasa mkuu, nilikuwa na kipara na nywele zimeota kabisa, mafuta ya mnyonyo ni tiba tosha. Pia asivae kofia kuficha kipara maana kofia pia inaongeza sana kasi ya ukuaji wa kipara.
 
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Mbaya zaidi , tabia Ya kipara ukipenda kunyoa mara kwa mara na chenyewe ndio kinaongezeka ,
 
Kuficha maumbile ni kukosa kujiamini.....na kukosa kujiamini ni udhaifu.....na udhaifu ni moja ya hatua za mwanzo kuelekea kwenye anguko la kimaisha.........kabla hujafa hujaumbika.....kipokee endelea na maisha......kwani kinakuwasha au kinakuuma.....??
 
Vita
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
Nenda kwa mganga
 
Kuna watu wanapandikiza nyweleee.

Sijui inakuwaje.

Mimi nina kipara kwa mbaaaaaaaliiiiik ina asili ya kichwa changu ni nywele nyingi.
 
Rooney alikuwaga na kipara lkn siku hizi ananyoa kiduku!!
PESA PESA PESA...

Ametumia mapesa mingi kuotesha nywele.

Complex surgery na maudambwi dambwi mengine ya kidaktari... (balancing testosterone etc).

Hapa bongo sijui kama wana hizo huduma.
 
Back
Top Bottom