Kwa vijana wenye hatari ya nywele kupotea upara/uwalaza ulaji wa mbegu za maboga unaweza kusaidia.
Ulaji wa mbegu za maboga unasaidia pia kupunguza hatari ya tezi dume na kuicontrol kabisa.
Tukirudi kwenye upara kuna mafuta yenye mchanganyiko wa nyonyo na mafuta ya mbegu za maboga unaweza kusaidiana na ulaji wa mbegu za maboga
Ukiyapata tumia miezi mitatu hadi sita halafu ntahitaji mrejesho wako broh