Kipara kimeanza kuota

Kipara kimeanza kuota

Kwa mwenye uhitaji wa mafuta ya kuotesha,kukuza/kujaza na kung'arisha ndevu.

Yametengezwa Singapore kwa mitishamba(herbal oil)

mawasiliano 0765494548
20210327_135614-1.jpeg
IMG_20210325_171835_377.jpeg
IMG-20210327-WA0005.jpeg
 
Nimesikia mada ya kipara nikaruka ,kumbe cko alone.
 
Please help.
Kwa vijana wenye hatari ya nywele kupotea upara/uwalaza ulaji wa mbegu za maboga unaweza kusaidia.
Ulaji wa mbegu za maboga unasaidia pia kupunguza hatari ya tezi dume na kuicontrol kabisa.


Tukirudi kwenye upara kuna mafuta yenye mchanganyiko wa nyonyo na mafuta ya mbegu za maboga unaweza kusaidiana na ulaji wa mbegu za maboga

Ukiyapata tumia miezi mitatu hadi sita halafu ntahitaji mrejesho wako broh
 
Back
Top Bottom