Kipatimu; Naomba maelezo ya kuhusu eneo husika

Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,

Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Haya ndio ninayotaka
 
Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,

Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Mi ndo home sweet home huko, hapo Nasaya ndo kwetu kabisaaaaaaa... Usafiri unapatikana Mbagala rangi 3 stendi... Nauli ni elfu 13 mpaka Kipatimu... Huduma za kijamii zote zipo kasoro kituo cha polisi na bank ndo hamna... Bank mpaka Kilwa Masoko.... Labda kama kuna huduma za mawakala wa kibenki.... Bei za vyumba ni cheap sana.... Umeme upo.... Maji nayo changamoto kidogo
 
Masaa mangap kufik ukitokea mbagara???
Vipi mazao ya kilimo cha mazao ni yap??
 
Mmhh!Kilwa!!! Chonde chonde na wake za watu,ukatembea na mtoto wa mtu mzee wake akakwambia muoe bora ufanye hivyo,wazee kule hawachezewi,Teknolojia nyeusi iko level za juu sana maeneo yale.
 
Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,

Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
nimesoma Mitole shule ya msingi 1970 std 7. Kulikuwa porini mmno! tena mno! Mito inayozuia mawasiliano mvua ikinyesha... Mto Matandu... etc. Kulikuwa kwa hovyo. Nenda kajionee mwenyewe.
 
Mkuu mimi nimesgafika huko kwa kweli kipatimu ni kama kijijini ila ukienda na mawazo chanya changamoto za huko zinaweza kuwa fursa.
 
nimesoma Mitole shule ya msingi 1970 std 7. Kulikuwa porini mmno! tena mno! Mito inayozuia mawasiliano mvua ikinyesha... Mto Matandu... etc. Kulikuwa kwa hovyo. Nenda kajionee mwenyewe.
Wewe ulikuwa wilaya ya Kilwa siyo Kipatimu... Napo kumebadilika sana huko.... Dar to Kilwa masoko sasa hivi ni full lami... Ni masaa 4 tu... Kilwa ya sasa siyo kama ya zamani
 
Wewe ulikuwa wilaya ya Kilwa siyo Kipatimu... Napo kumebadilika sana huko.... Dar to Kilwa masoko sasa hivi ni full lami... Ni masaa 4 tu... Kilwa ya sasa siyo kama ya zamani
Nakubali, nimesoma huko, nafanya kazi/nilifanya kazi huko napajua. mabadiliko ni lami, bado ni interior with other amenities of life still very poor. Likawage, unapajua, nanjirinji.
Rekebisha, Kipatimu iko wilaya ya Kilwa. By the way it is a walking distance from Mitole to Kipatimu! Wakatoliki ndio wame pa shape pale enzi hizo na sasa!
 
Huko kipatimu wanalima nini zaidi maana nasikia kuna ngedere kishenzi
 
Nimeishi KILWA na kaz Yangu ya kwanza nilianza kilwa masoko ndio makao makuu ya wilaya ya kilwa ukitokea DAR Hautofika kilwa masoko nadhani kuna kijij kinaitwa njia 4 hapo ndio kuna junction ya kwenda huko kipatimu ni kuzur kias utapitia vjj kama chumo namayuni na vingne ving kabla ya kufka kipatimu wakaz wengi ni wamatumbi wandonde mazao nadhan naz ndio nyingi na muhogo pia hasa maeneo ya kibata nilihama kilwa mwaka 2006 cjajua mabadiliko mengine kwa sasa
 
Vzur kaka
 
Kipatimu ni karibu na Nandete kulikozaliwa vita vya majimaji, wakazi wake ni wakarimu sana, alikozaliwa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…