Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
niambie unataka maelezo gani chief...?Mr miller npe maelekezo bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niambie unataka maelezo gani chief...?Mr miller npe maelekezo bhana
Mi ndo home sweet home huko, hapo Nasaya ndo kwetu kabisaaaaaaa... Usafiri unapatikana Mbagala rangi 3 stendi... Nauli ni elfu 13 mpaka Kipatimu... Huduma za kijamii zote zipo kasoro kituo cha polisi na bank ndo hamna... Bank mpaka Kilwa Masoko.... Labda kama kuna huduma za mawakala wa kibenki.... Bei za vyumba ni cheap sana.... Umeme upo.... Maji nayo changamoto kidogoWadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,
Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Masaa mangap kufik ukitokea mbagara???Mi ndo home sweet home huko, hapo Nasaya ndo kwetu kabisaaaaaaa... Usafiri unapatikana Mbagala rangi 3 stendi... Nauli ni elfu 13 mpaka Kipatimu... Huduma za kijamii zote zipo kasoro kituo cha polisi na bank ndo hamna... Bank mpaka Kilwa Masoko.... Labda kama kuna huduma za mawakala wa kibenki.... Bei za vyumba ni cheap sana.... Umeme upo.... Maji nayo changamoto kidogo
masaa manne ivi,Masaa mangap kufik ukitokea mbagara???
Vipi mazao ya kilimo cha mazao ni yap??
nimesoma Mitole shule ya msingi 1970 std 7. Kulikuwa porini mmno! tena mno! Mito inayozuia mawasiliano mvua ikinyesha... Mto Matandu... etc. Kulikuwa kwa hovyo. Nenda kajionee mwenyewe.Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,
Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Wewe ulikuwa wilaya ya Kilwa siyo Kipatimu... Napo kumebadilika sana huko.... Dar to Kilwa masoko sasa hivi ni full lami... Ni masaa 4 tu... Kilwa ya sasa siyo kama ya zamaninimesoma Mitole shule ya msingi 1970 std 7. Kulikuwa porini mmno! tena mno! Mito inayozuia mawasiliano mvua ikinyesha... Mto Matandu... etc. Kulikuwa kwa hovyo. Nenda kajionee mwenyewe.
Nakubali, nimesoma huko, nafanya kazi/nilifanya kazi huko napajua. mabadiliko ni lami, bado ni interior with other amenities of life still very poor. Likawage, unapajua, nanjirinji.Wewe ulikuwa wilaya ya Kilwa siyo Kipatimu... Napo kumebadilika sana huko.... Dar to Kilwa masoko sasa hivi ni full lami... Ni masaa 4 tu... Kilwa ya sasa siyo kama ya zamani
Yes, we need to know, nini maana yakeKipatimu ndio nn?
Vzur kakaNimeishi KILWA na kaz Yangu ya kwanza nilianza kilwa masoko ndio makao makuu ya wilaya ya kilwa ukitokea DAR Hautofika kilwa masoko nadhani kuna kijij kinaitwa njia 4 hapo ndio kuna junction ya kwenda huko kipatimu ni kuzur kias utapitia vjj kama chumo namayuni na vingne ving kabla ya kufka kipatimu wakaz wengi ni wamatumbi wandonde mazao nadhan naz ndio nyingi na muhogo pia hasa maeneo ya kibata nilihama kilwa mwaka 2006 cjajua mabadiliko mengine kwa sasa