Kipatimu; Naomba maelezo ya kuhusu eneo husika

Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,

Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Mkuu huko umeamishiwa au ndo ajira yako mpya?
 
Nahis kuchnganyikiwa daaaaah
Kule kunaitwa kipa + timu= kipatimu ila ni pazuri kidogo sema njia mbovu balaa kipindi kama hiki cha mvua jiandae kujichimba huko huko sema kipindi cha msimu wa machungwa utapenda pia fursa za nazi kibao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…