mumak
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,069
- 668
Mkuu huko umeamishiwa au ndo ajira yako mpya?Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,
Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k