laki tano za tz ama kenya?....kama za tz nkidogo sana izo
Unaonekana una idea kijana embu dadavua basi tuelewe..mana mimi sijaipata viZuri hyo maana ya kipato cha kati. ..mf kipato cha wakenya walio wengi kipoje...mfanyakazi wa kawaida Au mfanyabiasharalaki tano za tz ama kenya?....kama za tz nkidogo sana izo
Kwanza kukusahihisha hapo ni kwamba toa hicho kipengele ha elimu,maana hakihusiani sana na kupata hela,kipato cha kati kinahusisha uwezo wa kuweza kutatua shida zako zote zinazokujia kwa wakati huo,hawa hawafikirii sana masuala ya kula,wameshamalizana na masuala ya kula kitambo,hawawazii sana matibabu sababu wanaweza kujitibu ppote bila shida au bila kuomba msaada,hawafikirii karo za watoto waomaana wanajitosheleza,wanachowaza hai ni kua watu wa kipato cha juu,ili wawe level moja,Ili tuseme mtu huyu ni wa kipato cha kati anatakiwa kuwa na kiasi gani cha fedha katika mapato yake mathalani kwa mwezi,anahitajika awe anamiliki mali zipi Au awe na elimu kiasi gani...tudiscuss...
Sent using Jamii Forums mobile app
sina ufahamu kwa haya mambo kivile cz economics namimi tulikosana...ila laki tano za bongo ni around 25000 ksh..iyo kwa maoni yangu naiona ndogo sana kuqualify kua middle class.kiasi hicho cha pesa kwa mwezi watu wanakipata kiurahisirahisi tuUnaonekana una idea kijana embu dadavua basi tuelewe..mana mimi sijaipata viZuri hyo maana ya kipato cha kati. ..mf kipato cha wakenya walio wengi kipoje...mfanyakazi wa kawaida Au mfanyabiashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh pardon. ..manake kama mtu anakipato cha chini ya million moja ya Tz bado upo kipato kipato chini?na hata kama anaingiza iyo million bado ni kidogo...SMHKwanza kukusahihisha hapo ni kwamba toa hicho kipengele ha elimu,maana hakihusiani sana na kupata hela,kipato cha kati kinahusisha uwezo wa kuweza kutatua shida zako zote zinazokujia kwa wakati huo,hawa hawafikirii sana masuala ya kula,wameshamalizana na masuala ya kula kitambo,hawawazii sana matibabu sababu wanaweza kujitibu ppote bila shida au bila kuomba msaada,hawafikirii karo za watoto waomaana wanajitosheleza,wanachowaza hai ni kua watu wa kipato cha juu,ili wawe level moja,
NB. Mtu wa kipato cha chini weng tunafikiria kwanza kula,ndio mengine yafuate,so kiufupi weng ni kuanzia wenye milioni 100-900 kutokana na uwekezaji wako,lakin ukishaanza kufikia level ya bilion umeanza kukaa sawa kwe ye mstari,ni maoni yangu binafs
Ha ha ha milion hyo haitosh kununua hata iphone 7 mkuu,ukiona mtu yyte anatafuta hela ya kula kwanza ujue bado hajajitosheleza na kujimiliki hata asipoenda kazin ujue atalala njaa,kupata milion kila siku kama faida au kama maingizo yako,kama ni faida hata huyo mwenye milion mia mbili inawezekana ndio faida yake kwa siku,so km unaweza kupata faida milion kila siku jua mtaji wako umesimama haswa kiongoz,lakin km sisi tunaopata 50k mpka 120 k per day bado tunasota kias chake kujisettle ili tusimame vzrLooh pardon. ..manake kama mtu anakipato cha chini ya million moja ya Tz bado upo kipato kipato chini?na hata kama anaingiza iyo million bado ni kidogo...SMH
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tunapoambiwa watu ni masikini inatafsiri pana sanaHa ha ha milion hyo haitosh kununua hata iphone 7 mkuu,ukiona mtu yyte anatafuta hela ya kula kwanza ujue bado hajajitosheleza na kujimiliki hata asipoenda kazin ujue atalala njaa,kupata milion kila siku kama faida au kama maingizo yako,kama ni faida hata huyo mwenye milion mia mbili inawezekana ndio faida yake kwa siku,so km unaweza kupata faida milion kila siku jua mtaji wako umesimama haswa kiongoz,lakin km sisi tunaopata 50k mpka 120 k per day bado tunasota kias chake kujisettle ili tusimame vzr
Kuanzia kichwani mwetu tunawaza kimasikini.unajua unaweza kua na nyumba,gar mke watoto lakin ukawa na maisha magumu mpka ukajichukia japo una biashara ambayo inakupa hata 50k bt ukijitoa ufaham kutaka kuish kwa namna waliokuzid wanaishi mwsho ukaanza kujiona huna maana,so umasikini mkuu kbsa sio kukosa pesa,nikukosa afya njema
Anhaa nmekupata kijana....According to the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS), Kenya’s middle class includes anybody spending between Sh23, 670 and Sh199,999 monthly. The upper class (those who spend above Sh200,000 a month) (2015) tuusan
HaHaha watu wanavyoendelea kuelezea ndio nazidi kujifunza...Kuanzia kichwani mwetu tunawaza kimasikini.unajua unaweza kua na nyumba,gar mke watoto lakin ukawa na maisha magumu mpka ukajichukia japo una biashara ambayo inakupa hata 50k bt ukijitoa ufaham kutaka kuish kwa namna waliokuzid wanaishi mwsho ukaanza kujiona huna maana,so umasikini mkuu kbsa sio kukosa pesa,nikukosa afya njema
Yaah..I was ryt.the issue was to spend that not to make that amountsaadeque
Haha jamaa katoa definition nzuri. ..matumizi lakini what if I spend the rated amount on buying one item at once? .. ..or unnecessarily alcohols consuming and things like that....Yaah..I was ryt.the issue was to spend that not to make that amount
Requires consistency... That is why it is monthly. And kama ni alcohol consistently basi uko kwa middle class, kwa sababu kuna transport, chakula, malazi, health, communication.. enye lazima ugharamie pia.Haha jamaa katoa definition nzuri. ..matumizi lakini what if I spend the rated amount on buying one item at once? .. ..or unnecessarily alcohols consuming and things like that....
Sent using Jamii Forums mobile app