Kwanza kukusahihisha hapo ni kwamba toa hicho kipengele ha elimu,maana hakihusiani sana na kupata hela,kipato cha kati kinahusisha uwezo wa kuweza kutatua shida zako zote zinazokujia kwa wakati huo,hawa hawafikirii sana masuala ya kula,wameshamalizana na masuala ya kula kitambo,hawawazii sana matibabu sababu wanaweza kujitibu ppote bila shida au bila kuomba msaada,hawafikirii karo za watoto waomaana wanajitosheleza,wanachowaza hai ni kua watu wa kipato cha juu,ili wawe level moja,
NB. Mtu wa kipato cha chini weng tunafikiria kwanza kula,ndio mengine yafuate,so kiufupi weng ni kuanzia wenye milioni 100-900 kutokana na uwekezaji wako,lakin ukishaanza kufikia level ya bilion umeanza kukaa sawa kwe ye mstari,ni maoni yangu binafs