Kipato changu kwa mwezi ni 150,000/- nipeni mbinu ya ku-save nami niondokane na umasikini wa kipato

Ningekua mahakamani na mm ndio judge ningegonga nyundo mara tatu, kuashiria CASE CLOSED...
CONTROLA umemaliza thread mzee, huu ushaur ni wa [emoji91][emoji95]
Kuufata huo ushauri ni lazima mtoa mada awe serious na haya maisha

kama ni mtoto wa mama huo ushauri atauona wa moto kama Jua la saa saba

ila akiwa serious ki maukweliii na haya maisha,Atatoboa na zaidi atapata shule ambayo

asingekaa aipate popote chini ya jua ila akifata huo ushauri atapata vyote,na baada ya kupita kwenye

bonde lake hilo akiibukia mbele mbele tambarare atakua n moja ya wale maraia huwezi waambia kitu kuhusu maisha.
 
Tafuta sehemu yenye msongamano wa watu, tafuta kijana achome mahindi, kuuza matunda, pamoja na kuuza kahawa; pia ukumbuke kuweka radio mbao kwa ajili ya kusikiliza habari za bbc
 
Kabla ya yote unatakiwa uwe na malengo yako, unataka kusave kwa muda gani? je ni miezi 6 au mwaka au miaka?

Fahamu sababu zinazokufanya u save pesa,je unataka ufungue biashara,au unataka ununue chombo cha usafiri?

Ukishafahamu target yako (labda target n 1 year) hapo sasa piga kazi ndani ya mwezi ukipokea pesa,kaa ndani tuliza akili..

Mkononi una 150k.. Jiulize matumizi yako makubwa n nini? najua kubwa n Malazi(kodi) na msosi.. Afya n muhimu ila kwenye mwanzo mgumu wa namna hii afya Muachie Allah....

Ukishajua matumizi yako makubwa n kodi na chakula,jiulize Unaweza kuondoa kipi kati ya hivyo viwili ili kibaki kimoja?

Jibu chakuondoa n Kodi,sasa utaishi wapi? Hapa sasa ndio ule msemo wa Maana halisi ya maisha unatokea eneo hili, Hapo Rudisha room ya watu..

Kama ulikua na vitu Uza vyotee bakiza nguo zako na begi tu kama mwana apolo,vitu utanunua huko mbeleni saivi havina maana yeyote maana hata kama una hotpot huna uwezo wakupka hata wali nusu uweke so hapa Ondoa mzigo uliokuganda.

Ukishauza kila kitu ukabaki mweupe n wewe begi lako na nguo zako ndani,sasa Rudsha chumba cha watu, Chukua siku 1 anza kuzunguka huko kwa vijana wanaopga kazi either wabeba tofali au au zege au mizigo ilmrad wawe vijana wapga kazi kweli unawaona.

mfate mmoja wao au waite wote waambie ndugu zangu mimi n mwanaume mwenzenu,nmekuja Mjini sina pa kuishi ila nmekuja kufanya kazi na nimepata kazi sehemu naomba mnifadhili pakulala tu walau mwezi huu tu,nkipata kodi nitahamia kwangu nikapange..

Amini nakwambia ktk lile kundi hatokosekana mmoja mwenye imani maana umeshawambia ukweli kuwa umekuja kutafuta maisha na unaomba pakulala tu.

Utakubaliwa nina uhakika uspokubaliwa zunguka sehemu nyngine na nyngine hadi utakapokutana na yule mtu ataekuelewa,Yupo Mkuu Yupo nina uhakika 100% ujue tu namna yakujieleza na uwe mstarabu.

Ukipata pakulala sasa kipengele ktabaki kwenye msosi, eneo hili nalo si la kucheza nalo linapoteza hela haswa,sasa hakikisha marafiki zako n kina mama ntlie na usijifanye much know kuwa mkweli ukienda kwa kna mama ntlie nunua ukoko ule mzuri utauziwa,siku moja moja ule vizuri ili usipoteze afya ule vtu vya kukupa afya TU.

ishi kwa malengo naamini kwa mwezi mzima utaweza save walau 100k kama kweli utakua na akili zile za mtafutaji wa maisha,aibu acha,ukipewa chakula maswala ya kuzuga umeshiba eti unasema Asante Acha ukipata chance ya kufukia free fukia hadi cha kesho kutwa.

Mkuu miezi yako 6 tu inakutosha kupata 600k na kuanza biashara yako,ukjikaza to 1year utakua na 1.2m Mkuu maisha n safari ndefu na ili ulijue hilo ingiza utendaji ktk hii post,maisha yako unayoyaptia leo Kesho yatakua simulizi za kuchekesha,kuliza na hata kufundisha.

Pambana Mkuu,wenzako tulianza na mishahara ya 2000 per day mapito tuliyoptia ukiyaskia utajiona wewe kumbe n lakinare unamiliki milaki kwa mwezi tena uhakika...

wakat hyo 2000 nlokua nkipewa kuna siku boss anavurugwa anakuja anagomba anasema mna kazi ya kula tu hapa kazini kwangu kazi hamfanyi mnanipa hasara tu,anachukua mauzo yote anatuacha weupe... Mkuuu maisha n safari hebu ianze yako kuna utamu wake kuanza maisha kwa style yako TRUST me utanielewa siku 1 ukivuka hiki kipindi kigumu.

YES YOU CAN.
Kama kuna siku nimewahi kusoma ushauri mchungu na uliojaa ukweli ndani yake ni leo, CONTROLA wew ni mtu na nusu na ulichokiandika hakuna wa kukipinga na kma akifata huu ushauri lazima arudi kukushukuru hapa jukwaani! Salute mkuu![emoji119][emoji119]
 
Hiyo pesa ni ndogo kwa mtu mzima kujitegemea.
Kwa sasa hakikisha unapata mahitaji muhimu (kula,nguo na malazi) mengine yanakuja yenyewe.
Kula kwa urefu wa kamba yako.
 
Mkuu haya maneno umeyoandika huna tofauti na wale watu wanaoandika maneno matamu matamu kuhusu namna ya kuwa millionea kwa kulima matikikti .....

Hayo maandishi umeyoandika hayana uhalisia kabisa na maisha, hayo maneno ni kama just motivation story ukija kwenye real field hawezi kuishi hayo maisha ....

Usichukulie poa kabisa maisha ya kwenye vitabu (maneno ya kuandika kama haya ) na vitendo ni big no ...wanaokusuport ni watu wa officine tu ambao hawajui uhalisia wake ....

Mimi binafsi namshauri jamaa aangalie namna ya kupiga kazi nyingine ya ziada kuongeza kipato kwa mwezi .....hayo maisha ya kuishi kama msukule hawezi kumaliza miezi mitatu....
 
Ili tuweze kushauriana vizuri, kwanza chief weka matumizi yako ya jumla kwa mwezi(bajeti yako)
 
Kama kuna siku nimewahi kusoma ushauri mchungu na uliojaa ukweli ndani yake ni leo, CONTROLA wew ni mtu na nusu na ulichokiandika hakuna wa kukipinga na kma akifata huu ushauri lazima arudi kukushukuru hapa jukwaani! Salute mkuu![emoji119][emoji119]
Together Master, mimi nimempa hint za paper nililo lifanya before

yani kshule shule tunasema Pepa limevuja Afeli mwenyewe kwa kuona soo!
 
Mimi binafsi namshauri jamaa aangalie namna ya kupiga kazi nyingine ya ziada kuongeza kipato kwa mwezi .....hayo maisha ya kuishi kama msukule hawezi kumaliza miezi mitatu....
Poa Mkuu.. .. ..

Acha ibaki kama motivational speaker, huijui shida wewe

wala huijui inaonekanaje,ungekua hata ushawahi nunua ukoko

unge ona nilichoandika ni kawaida mno, imagine unapga kazi ngumu

na hela unayoipata haitosh kununua hata ukoko,unatembea usiku hujui

unaenda kulala wapi,ungekua ushawahi pitia hata 1 ya msoto 1 mtakatifu

ungejinyamazia zako,wengine mmezaliwa maisha mmeyakuta yamenyookaa kama reli

sina maana ya umezaliwa kwenye pesa,Kuzaliwa tu ukawa na wazazi wanaokubali wewe n mtoto wao

wamekuzaa (mi nakuona wakishua tu) kuna watu wanapta misoto na wazazi wamewakataa,ndugu wamewakataa

huwezi elewa kitu yyte maana hujawahi pita katika hiyo zone, Kwakua ushauri haukua wako acha mtoa mada aone ataamua kufata kipi kati ya wote tuliochangia.
 
Najua hili sio jukwaa la uchumi ila kutokana na unyeti wa jukwaa hili maana naamini ndio jukwaa linaloongoza kutembelewa zaidi na watu mbalimbali mmoja wapo Mimi

Sasa kama mada inavyojieleza, kutokana na hali halisi ya maisha na ugumu wa ajira nilipata mchongo flani ambao salary yake ndo hiyo kwenye title

Kiukweli hii pesa kila nikiipata naona kabisa nashindwa kuweka akiba, manake hali ya kujitegemea inanigharimu, Kodi ya nyumba, kula, na masuala mengine ya kiafya

Nimewaza namna ya kujibana Ili nitunze kidogo kidogo nipate japo mtaji wa kuuza pipi,karanga ,sigara na hata pombe za kupima•

Sasa wale wajuvi wa mambo ya kifedha hasa matajiri wa hapa MMU nipeni techniques za kuweka akiba kutokana na hiki kipato ninachoingiza kila mwisho wa mwezi.

Kama huna ushauri mzuri bora upite kimya kimya sitaki kejeli hapa
Upo mkoa gani?
Kodi unalipa Sh.ngapi..?
Gharama za nauli zikoje?
Umbali wa kazini mpaka kibaruani ukoje?
Matumizi ya Chakula ni kiasi gani?
Kazi yako inakupa nafasi ya kufanya shughuli nyingine?
Matumizi gani mengine madogo madogo yanayojirudia mara kwa mara..?
Kitu cha kwanza ni kutambua matumizi yako,yapi ya lazima/hayaepukiki,yapi yanaweza kupunguzwa/kuachwa..
Unweza kusave kiasi gani..
Discipline ya matumizina kusave ni muhimu sana..
Njia nyingine za kuongeza kipato hakuepukiki..
Gharama za maisha zinapanda kila siku, lazima akili itafute namna ya kupambana nayo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Poa Mkuu.. .. ..

Acha ibaki kama motivational speaker, huijui shida wewe

wala huijui inaonekanaje,ungekua hata ushawahi nunua ukoko

unge ona nilichoandika ni kawaida mno, imagine unapga kazi ngumu

na hela unayoipata haitosh kununua hata ukoko,unatembea usiku hujui

unaenda kulala wapi,ungekua ushawahi pitia hata 1 ya msoto 1 mtakatifu

ungejinyamazia zako,wengine mmezaliwa maisha mmeyakuta yamenyookaa kama reli

sina maana ya umezaliwa kwenye pesa,Kuzaliwa tu ukawa na wazazi wanaokubali wewe n mtoto wao

wamekuzaa (mi nakuona wakishua tu) kuna watu wanapta misoto na wazazi wamewakataa,ndugu wamewakataa

huwezi elewa kitu yyte maana hujawahi pita katika hiyo zone, Kwakua ushauri haukua wako acha mtoa mada aone ataamua kufata kipi kati ya wote tuliochangia.

Acha kudanganya watu na kuandika script za kwenye movie na kuleta kwenye maisha halisi ...

Unaijua dsm wewe,watu wengi hawana pa kulala ,wengi wanatafuta hata vyumba vya Giza kuishi ....Sasa unavosema arudishe chumba atafute sehemu ya kukaa bure hapa kwa dsm lazima atalala nje iwe isiwe au ataenda kulala stend ....na kazi anayoifanga kupata hio 150k hataifanga vzurii...!

Dsm unaweza kutembea kutoka mbezi mpaka mbagara kongowe ,pita tandika ,gongolamboto ,ubungo ,lakini kupata mtu anayekuweka kwake bure ni mtihani ....

Unafikili ulivoandika hivo ni rahisi ,Mimi nakaa dsm naijua dsm watu wa huku walivo busy na Mambo yako wakatili kweli kweli ...

Leo unasema arudishe chumba akake barabarani kutafuta washikaji wamtunze ? ....atakutana na majanga ambayo ni Bora angekaaa kwenye chumba hata cha Giza kwa mwezi elfu 15 kuliko kufuata huo ushauri wako wa hovyo kabisa wa kwenye movie za kibongo ....

Mtoa maada usijaribu kufuata hayo maisha ya kimovie movie alitoandika huyo jamaa utajuata kwa hapa dsm ....

Watu wa dsm wengi ni wanyama ,wavuta sigara ,bangi ,walevi Tena walio shindikana,Wala unga ,matozi ,na mateja kibao ....Sasa unatoka kwenye maisha yako mazuri tu ambayo ungejipanga unaingia kwenye magenge ya wahuni ambao hawana mitazamo ya maendeleo mwisho wa siku utaonekana Teja na unauza bangi ...utapata majanga kibao ....

Bora utafuta chumba kibovu ila kiwe chako pekee yako ujifiche humo hata cha Giza unapolaza mgongo na kutuliza kichwa vzuri huku ukitafakali kuliko kujiunga na makundi ya hovyo kutafuta kitonga...
 
Poa Mkuu.. .. ..

Acha ibaki kama motivational speaker, huijui shida wewe

wala huijui inaonekanaje,ungekua hata ushawahi nunua ukoko

unge ona nilichoandika ni kawaida mno, imagine unapga kazi ngumu

na hela unayoipata haitosh kununua hata ukoko,unatembea usiku hujui

unaenda kulala wapi,ungekua ushawahi pitia hata 1 ya msoto 1 mtakatifu

ungejinyamazia zako,wengine mmezaliwa maisha mmeyakuta yamenyookaa kama reli

sina maana ya umezaliwa kwenye pesa,Kuzaliwa tu ukawa na wazazi wanaokubali wewe n mtoto wao

wamekuzaa (mi nakuona wakishua tu) kuna watu wanapta misoto na wazazi wamewakataa,ndugu wamewakataa

huwezi elewa kitu yyte maana hujawahi pita katika hiyo zone, Kwakua ushauri haukua wako acha mtoa mada aone ataamua kufata kipi kati ya wote tuliochangia.

Acha kudanganya watu na kuandika script za kwenye movie na kuleta kwenye maisha halisi ...

Unaijua dsm wewe,watu wengi hawana pa kulala ,wengi wanatafuta hata vyumba vya Giza kuishi ....Sasa unavosema arudishe chumba atafute sehemu ya kukaa bure hapa kwa dsm lazima atalala nje iwe isiwe au ataenda kulala stend ....na kazi anayoifanga kupata hio 150k hataifanga vzurii...!

Dsm unaweza kutembea kutoka mbezi mpaka mbagara kongowe ,pita tandika ,gongolamboto ,ubungo ,lakini kupata mtu anayekuweka kwake bure ni mtihani ....

Unafikili ulivoandika hivo ni rahisi ,Mimi nakaa dsm naijua dsm watu wa huku walivo busy na Mambo yako wakatili kweli kweli ...

Leo unasema arudishe chumba akake barabarani kutafuta washikaji wamtunze ? ....atakutana na majanga ambayo ni Bora angekaaa kwenye chumba hata cha Giza kwa mwezi elfu 15 kuliko kufuata huo ushauri wako wa hovyo kabisa wa kwenye movie za kibongo ....

Mtoa maada usijaribu kufuata hayo maisha ya kimovie movie alitoandika huyo jamaa utajuata kwa hapa dsm ....

Watu wa dsm wengi ni wanyama ,wavuta sigara ,bangi ,walevi Tena walio shindikana,Wala unga ,matozi ,na mateja kibao ....Sasa unatoka kwenye maisha yako mazuri tu ambayo ungejipanga unaingia kwenye magenge ya wahuni ambao hawana mitazamo ya maendeleo mwisho wa siku utaonekana Teja na unauza bangi ...utapata majanga kibao ....

Bora utafuta chumba kibovu ila kiwe chako pekee yako ujifiche humo hata cha Giza unapolaza mgongo na kutuliza kichwa vzuri huku ukitafakali kuliko kujiunga na makundi ya hovyo kutafuta kitonga...
 
Kabla ya yote unatakiwa uwe na malengo yako, unataka kusave kwa muda gani? je ni miezi 6 au mwaka au miaka?

Fahamu sababu zinazokufanya u save pesa,je unataka ufungue biashara,au unataka ununue chombo cha usafiri?

Ukishafahamu target yako (labda target n 1 year) hapo sasa piga kazi ndani ya mwezi ukipokea pesa,kaa ndani tuliza akili..

Mkononi una 150k.. Jiulize matumizi yako makubwa n nini? najua kubwa n Malazi(kodi) na msosi.. Afya n muhimu ila kwenye mwanzo mgumu wa namna hii afya Muachie Allah....

Ukishajua matumizi yako makubwa n kodi na chakula,jiulize Unaweza kuondoa kipi kati ya hivyo viwili ili kibaki kimoja?

Jibu chakuondoa n Kodi,sasa utaishi wapi? Hapa sasa ndio ule msemo wa Maana halisi ya maisha unatokea eneo hili, Hapo Rudisha room ya watu..

Kama ulikua na vitu Uza vyotee bakiza nguo zako na begi tu kama mwana apolo,vitu utanunua huko mbeleni saivi havina maana yeyote maana hata kama una hotpot huna uwezo wakupka hata wali nusu uweke so hapa Ondoa mzigo uliokuganda.

Ukishauza kila kitu ukabaki mweupe n wewe begi lako na nguo zako ndani,sasa Rudsha chumba cha watu, Chukua siku 1 anza kuzunguka huko kwa vijana wanaopga kazi either wabeba tofali au au zege au mizigo ilmrad wawe vijana wapga kazi kweli unawaona.

mfate mmoja wao au waite wote waambie ndugu zangu mimi n mwanaume mwenzenu,nmekuja Mjini sina pa kuishi ila nmekuja kufanya kazi na nimepata kazi sehemu naomba mnifadhili pakulala tu walau mwezi huu tu,nkipata kodi nitahamia kwangu nikapange..

Amini nakwambia ktk lile kundi hatokosekana mmoja mwenye imani maana umeshawambia ukweli kuwa umekuja kutafuta maisha na unaomba pakulala tu.

Utakubaliwa nina uhakika uspokubaliwa zunguka sehemu nyngine na nyngine hadi utakapokutana na yule mtu ataekuelewa,Yupo Mkuu Yupo nina uhakika 100% ujue tu namna yakujieleza na uwe mstarabu.

Ukipata pakulala sasa kipengele ktabaki kwenye msosi, eneo hili nalo si la kucheza nalo linapoteza hela haswa,sasa hakikisha marafiki zako n kina mama ntlie na usijifanye much know kuwa mkweli ukienda kwa kna mama ntlie nunua ukoko ule mzuri utauziwa,siku moja moja ule vizuri ili usipoteze afya ule vtu vya kukupa afya TU.

ishi kwa malengo naamini kwa mwezi mzima utaweza save walau 100k kama kweli utakua na akili zile za mtafutaji wa maisha,aibu acha,ukipewa chakula maswala ya kuzuga umeshiba eti unasema Asante Acha ukipata chance ya kufukia free fukia hadi cha kesho kutwa.

Mkuu miezi yako 6 tu inakutosha kupata 600k na kuanza biashara yako,ukjikaza to 1year utakua na 1.2m Mkuu maisha n safari ndefu na ili ulijue hilo ingiza utendaji ktk hii post,maisha yako unayoyaptia leo Kesho yatakua simulizi za kuchekesha,kuliza na hata kufundisha.

Pambana Mkuu,wenzako tulianza na mishahara ya 2000 per day mapito tuliyoptia ukiyaskia utajiona wewe kumbe n lakinare unamiliki milaki kwa mwezi tena uhakika...

wakat hyo 2000 nlokua nkipewa kuna siku boss anavurugwa anakuja anagomba anasema mna kazi ya kula tu hapa kazini kwangu kazi hamfanyi mnanipa hasara tu,anachukua mauzo yote anatuacha weupe... Mkuuu maisha n safari hebu ianze yako kuna utamu wake kuanza maisha kwa style yako TRUST me utanielewa siku 1 ukivuka hiki kipindi kigumu.

YES YOU CAN.
Kwasababu ya ku-save pesa ya Kodi ndio akaangaike kuomba hifadhi kwa watu asiowajua, akaishi kama mkimbizi, bila furaha, bila privacy nk...Sishauri.

DSM kuna sehemu ya Kodi hadi 10,000 kwamwezi sawa na 30,000...Sasa hii 30,000 ndio imfanye kuishi kama shetani.
 
Bora utafuta chumba kibovu ila kiwe chako pekee yako ujifiche humo hata cha Giza unapolaza mgongo na kutuliza kichwa vzuri huku ukitafakali kuliko kujiunga na makundi ya hovyo kutafuta kitonga...

Unahisi mimi nakaa Mkoani kigoma kule nyamuhunge si ndio?

Au unahisi mimi nilianza maisha kwa kupewa mtaji na wazazi/ndugu

Au unahisi mimi ni wale wakaa maofisini watunga story na kuziuza

Au unahisi hata kama nipo dar basi nimekuja mwaka jana si ndio?

Kijana acha nikwambie kitu,maisha hayataki watu wenye mindset kama yako

eti anatafuta kitonga! unajua maana ya kitonga wewe? kwanini nisingemshauri

akauze TIGO aongeze kipato kama shida ni kitonga? chekecha ubongo huo maisha sio marahisi hivyo

uliza walioanza maisha bila kuwa na nyumba za kuishi walikua wakilala wapi,unahisi kila

unaemuona mjini kapanga room si ndio? Unajua gharama za kupanga wewe? au unahisi kupanga ni KODI tu?

Akili yako inawaza kuwa apange room alipe kodi tu, si ndio? Una utofauti gani na wale wazazi wanazaa watoto

wakiamini mahitaji ya mtoto ni Nguo/malazi na Elimu... Fungua akili hiyo maisha ni Fumbo,si kila mtu anaweza lifumbua.
 
Kwasababu ya ku-save pesa ya Kodi ndio akaangaike kuomba hifadhi kwa watu asiowajua, akaishi kama mkimbizi, bila furaha, bila privacy nk...Sishauri.

DSM kuna sehemu ya Kodi hadi 10,000 kwamwezi sawa na 30,000...Sasa hii 30,000 ndio imfanye kuishi kama shetani.
Good! Mshauri afanyeje sasa! Tuone ushauri wako!

si unajua maisha yanataka nini,anahtaji ku save aondokane na Umaskini

wewe ulie kaa hapo ukafkiri Akishalipa ile 30,000 ndio kamaliza,sina uhakika

kama umeshawai kupanga au kuanzia chini,sina hakika! Akili yako kbsa imekaa

imewaza ukishalipa 30k ndio bwerereee ushamaliza kila kitu,Labda umtaftie hiyo room

pembeni ya Ofisi anayofanyia kazi inayompa hiyo 150k,otherwise nawewe Fungua huo ubongo Ufikiri nnje ya BOX.
 
Back
Top Bottom