Kuufata huo ushauri ni lazima mtoa mada awe serious na haya maishaNingekua mahakamani na mm ndio judge ningegonga nyundo mara tatu, kuashiria CASE CLOSED...
CONTROLA umemaliza thread mzee, huu ushaur ni wa [emoji91][emoji95]
Hi hi hi hi!Oa ukiwa na mke anae kuelewa hii hela itatosha.
Kama kuna siku nimewahi kusoma ushauri mchungu na uliojaa ukweli ndani yake ni leo, CONTROLA wew ni mtu na nusu na ulichokiandika hakuna wa kukipinga na kma akifata huu ushauri lazima arudi kukushukuru hapa jukwaani! Salute mkuu![emoji119][emoji119]Kabla ya yote unatakiwa uwe na malengo yako, unataka kusave kwa muda gani? je ni miezi 6 au mwaka au miaka?
Fahamu sababu zinazokufanya u save pesa,je unataka ufungue biashara,au unataka ununue chombo cha usafiri?
Ukishafahamu target yako (labda target n 1 year) hapo sasa piga kazi ndani ya mwezi ukipokea pesa,kaa ndani tuliza akili..
Mkononi una 150k.. Jiulize matumizi yako makubwa n nini? najua kubwa n Malazi(kodi) na msosi.. Afya n muhimu ila kwenye mwanzo mgumu wa namna hii afya Muachie Allah....
Ukishajua matumizi yako makubwa n kodi na chakula,jiulize Unaweza kuondoa kipi kati ya hivyo viwili ili kibaki kimoja?
Jibu chakuondoa n Kodi,sasa utaishi wapi? Hapa sasa ndio ule msemo wa Maana halisi ya maisha unatokea eneo hili, Hapo Rudisha room ya watu..
Kama ulikua na vitu Uza vyotee bakiza nguo zako na begi tu kama mwana apolo,vitu utanunua huko mbeleni saivi havina maana yeyote maana hata kama una hotpot huna uwezo wakupka hata wali nusu uweke so hapa Ondoa mzigo uliokuganda.
Ukishauza kila kitu ukabaki mweupe n wewe begi lako na nguo zako ndani,sasa Rudsha chumba cha watu, Chukua siku 1 anza kuzunguka huko kwa vijana wanaopga kazi either wabeba tofali au au zege au mizigo ilmrad wawe vijana wapga kazi kweli unawaona.
mfate mmoja wao au waite wote waambie ndugu zangu mimi n mwanaume mwenzenu,nmekuja Mjini sina pa kuishi ila nmekuja kufanya kazi na nimepata kazi sehemu naomba mnifadhili pakulala tu walau mwezi huu tu,nkipata kodi nitahamia kwangu nikapange..
Amini nakwambia ktk lile kundi hatokosekana mmoja mwenye imani maana umeshawambia ukweli kuwa umekuja kutafuta maisha na unaomba pakulala tu.
Utakubaliwa nina uhakika uspokubaliwa zunguka sehemu nyngine na nyngine hadi utakapokutana na yule mtu ataekuelewa,Yupo Mkuu Yupo nina uhakika 100% ujue tu namna yakujieleza na uwe mstarabu.
Ukipata pakulala sasa kipengele ktabaki kwenye msosi, eneo hili nalo si la kucheza nalo linapoteza hela haswa,sasa hakikisha marafiki zako n kina mama ntlie na usijifanye much know kuwa mkweli ukienda kwa kna mama ntlie nunua ukoko ule mzuri utauziwa,siku moja moja ule vizuri ili usipoteze afya ule vtu vya kukupa afya TU.
ishi kwa malengo naamini kwa mwezi mzima utaweza save walau 100k kama kweli utakua na akili zile za mtafutaji wa maisha,aibu acha,ukipewa chakula maswala ya kuzuga umeshiba eti unasema Asante Acha ukipata chance ya kufukia free fukia hadi cha kesho kutwa.
Mkuu miezi yako 6 tu inakutosha kupata 600k na kuanza biashara yako,ukjikaza to 1year utakua na 1.2m Mkuu maisha n safari ndefu na ili ulijue hilo ingiza utendaji ktk hii post,maisha yako unayoyaptia leo Kesho yatakua simulizi za kuchekesha,kuliza na hata kufundisha.
Pambana Mkuu,wenzako tulianza na mishahara ya 2000 per day mapito tuliyoptia ukiyaskia utajiona wewe kumbe n lakinare unamiliki milaki kwa mwezi tena uhakika...
wakat hyo 2000 nlokua nkipewa kuna siku boss anavurugwa anakuja anagomba anasema mna kazi ya kula tu hapa kazini kwangu kazi hamfanyi mnanipa hasara tu,anachukua mauzo yote anatuacha weupe... Mkuuu maisha n safari hebu ianze yako kuna utamu wake kuanza maisha kwa style yako TRUST me utanielewa siku 1 ukivuka hiki kipindi kigumu.
YES YOU CAN.
Kabla ya yote unatakiwa uwe na malengo yako, unataka kusave kwa muda gani? je ni miezi 6 au mwaka au miaka?

ha haaaaaaa kwa nin habari za bbcTafuta sehemu yenye msongamano wa watu, tafuta kijana achome mahindi, kuuza matunda, pamoja na kuuza kahawa; pia ukumbuke kuweka radio mbao kwa ajili ya kusikiliza habari za bbc
Wazee wengi wanaokunywa kahawa, huwa wanaifuatiliaha haaaaaaa kwa nin habari za bbc
Wewe Unataka Kutimiza Ule Usemi Wa Heri Punda Afe Mzigo Ufike.Oa ukiwa na mke anae kuelewa hii hela itatosha.
Ugali ya chumviWewe Unataka Kutimiza Ule Usemi Wa Heri Punda Afe Mzigo Ufike.
Together Master, mimi nimempa hint za paper nililo lifanya beforeKama kuna siku nimewahi kusoma ushauri mchungu na uliojaa ukweli ndani yake ni leo, CONTROLA wew ni mtu na nusu na ulichokiandika hakuna wa kukipinga na kma akifata huu ushauri lazima arudi kukushukuru hapa jukwaani! Salute mkuu![emoji119][emoji119]
Poa Mkuu.. .. ..Mimi binafsi namshauri jamaa aangalie namna ya kupiga kazi nyingine ya ziada kuongeza kipato kwa mwezi .....hayo maisha ya kuishi kama msukule hawezi kumaliza miezi mitatu....
Upo mkoa gani?Najua hili sio jukwaa la uchumi ila kutokana na unyeti wa jukwaa hili maana naamini ndio jukwaa linaloongoza kutembelewa zaidi na watu mbalimbali mmoja wapo Mimi
Sasa kama mada inavyojieleza, kutokana na hali halisi ya maisha na ugumu wa ajira nilipata mchongo flani ambao salary yake ndo hiyo kwenye title
Kiukweli hii pesa kila nikiipata naona kabisa nashindwa kuweka akiba, manake hali ya kujitegemea inanigharimu, Kodi ya nyumba, kula, na masuala mengine ya kiafya
Nimewaza namna ya kujibana Ili nitunze kidogo kidogo nipate japo mtaji wa kuuza pipi,karanga ,sigara na hata pombe za kupima•
Sasa wale wajuvi wa mambo ya kifedha hasa matajiri wa hapa MMU nipeni techniques za kuweka akiba kutokana na hiki kipato ninachoingiza kila mwisho wa mwezi.
Kama huna ushauri mzuri bora upite kimya kimya sitaki kejeli hapa
Usichukulie poa hizo harakati mkuu...Mke anaweza kupika mama lishe wakati jamaa anauza KVanr ya kupima.
Poa Mkuu.. .. ..
Acha ibaki kama motivational speaker, huijui shida wewe
wala huijui inaonekanaje,ungekua hata ushawahi nunua ukoko
unge ona nilichoandika ni kawaida mno, imagine unapga kazi ngumu
na hela unayoipata haitosh kununua hata ukoko,unatembea usiku hujui
unaenda kulala wapi,ungekua ushawahi pitia hata 1 ya msoto 1 mtakatifu
ungejinyamazia zako,wengine mmezaliwa maisha mmeyakuta yamenyookaa kama reli
sina maana ya umezaliwa kwenye pesa,Kuzaliwa tu ukawa na wazazi wanaokubali wewe n mtoto wao
wamekuzaa (mi nakuona wakishua tu) kuna watu wanapta misoto na wazazi wamewakataa,ndugu wamewakataa
huwezi elewa kitu yyte maana hujawahi pita katika hiyo zone, Kwakua ushauri haukua wako acha mtoa mada aone ataamua kufata kipi kati ya wote tuliochangia.

Kwasababu ya ku-save pesa ya Kodi ndio akaangaike kuomba hifadhi kwa watu asiowajua, akaishi kama mkimbizi, bila furaha, bila privacy nk...Sishauri.Kabla ya yote unatakiwa uwe na malengo yako, unataka kusave kwa muda gani? je ni miezi 6 au mwaka au miaka?
Fahamu sababu zinazokufanya u save pesa,je unataka ufungue biashara,au unataka ununue chombo cha usafiri?
Ukishafahamu target yako (labda target n 1 year) hapo sasa piga kazi ndani ya mwezi ukipokea pesa,kaa ndani tuliza akili..
Mkononi una 150k.. Jiulize matumizi yako makubwa n nini? najua kubwa n Malazi(kodi) na msosi.. Afya n muhimu ila kwenye mwanzo mgumu wa namna hii afya Muachie Allah....
Ukishajua matumizi yako makubwa n kodi na chakula,jiulize Unaweza kuondoa kipi kati ya hivyo viwili ili kibaki kimoja?
Jibu chakuondoa n Kodi,sasa utaishi wapi? Hapa sasa ndio ule msemo wa Maana halisi ya maisha unatokea eneo hili, Hapo Rudisha room ya watu..
Kama ulikua na vitu Uza vyotee bakiza nguo zako na begi tu kama mwana apolo,vitu utanunua huko mbeleni saivi havina maana yeyote maana hata kama una hotpot huna uwezo wakupka hata wali nusu uweke so hapa Ondoa mzigo uliokuganda.
Ukishauza kila kitu ukabaki mweupe n wewe begi lako na nguo zako ndani,sasa Rudsha chumba cha watu, Chukua siku 1 anza kuzunguka huko kwa vijana wanaopga kazi either wabeba tofali au au zege au mizigo ilmrad wawe vijana wapga kazi kweli unawaona.
mfate mmoja wao au waite wote waambie ndugu zangu mimi n mwanaume mwenzenu,nmekuja Mjini sina pa kuishi ila nmekuja kufanya kazi na nimepata kazi sehemu naomba mnifadhili pakulala tu walau mwezi huu tu,nkipata kodi nitahamia kwangu nikapange..
Amini nakwambia ktk lile kundi hatokosekana mmoja mwenye imani maana umeshawambia ukweli kuwa umekuja kutafuta maisha na unaomba pakulala tu.
Utakubaliwa nina uhakika uspokubaliwa zunguka sehemu nyngine na nyngine hadi utakapokutana na yule mtu ataekuelewa,Yupo Mkuu Yupo nina uhakika 100% ujue tu namna yakujieleza na uwe mstarabu.
Ukipata pakulala sasa kipengele ktabaki kwenye msosi, eneo hili nalo si la kucheza nalo linapoteza hela haswa,sasa hakikisha marafiki zako n kina mama ntlie na usijifanye much know kuwa mkweli ukienda kwa kna mama ntlie nunua ukoko ule mzuri utauziwa,siku moja moja ule vizuri ili usipoteze afya ule vtu vya kukupa afya TU.
ishi kwa malengo naamini kwa mwezi mzima utaweza save walau 100k kama kweli utakua na akili zile za mtafutaji wa maisha,aibu acha,ukipewa chakula maswala ya kuzuga umeshiba eti unasema Asante Acha ukipata chance ya kufukia free fukia hadi cha kesho kutwa.
Mkuu miezi yako 6 tu inakutosha kupata 600k na kuanza biashara yako,ukjikaza to 1year utakua na 1.2m Mkuu maisha n safari ndefu na ili ulijue hilo ingiza utendaji ktk hii post,maisha yako unayoyaptia leo Kesho yatakua simulizi za kuchekesha,kuliza na hata kufundisha.
Pambana Mkuu,wenzako tulianza na mishahara ya 2000 per day mapito tuliyoptia ukiyaskia utajiona wewe kumbe n lakinare unamiliki milaki kwa mwezi tena uhakika...
wakat hyo 2000 nlokua nkipewa kuna siku boss anavurugwa anakuja anagomba anasema mna kazi ya kula tu hapa kazini kwangu kazi hamfanyi mnanipa hasara tu,anachukua mauzo yote anatuacha weupe... Mkuuu maisha n safari hebu ianze yako kuna utamu wake kuanza maisha kwa style yako TRUST me utanielewa siku 1 ukivuka hiki kipindi kigumu.
YES YOU CAN.
Bora utafuta chumba kibovu ila kiwe chako pekee yako ujifiche humo hata cha Giza unapolaza mgongo na kutuliza kichwa vzuri huku ukitafakali kuliko kujiunga na makundi ya hovyo kutafuta kitonga...
Good! Mshauri afanyeje sasa! Tuone ushauri wako!Kwasababu ya ku-save pesa ya Kodi ndio akaangaike kuomba hifadhi kwa watu asiowajua, akaishi kama mkimbizi, bila furaha, bila privacy nk...Sishauri.
DSM kuna sehemu ya Kodi hadi 10,000 kwamwezi sawa na 30,000...Sasa hii 30,000 ndio imfanye kuishi kama shetani.