Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu.
Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi.
Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu.
Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi mkuu.
Napata hudhuni sana kuona kipaumbele cha nchi hii kuwa uchaguzi mkuu huku tukisahau ajenda muhimu za matumizi sahihi ya rasilimali za asili na rasilimali vijana kwa ujenzi wa Taifa.