glory mathew
New Member
- Apr 9, 2014
- 1
- 0
kwa muda mrefu watanzania tumekuwa tukijitahidi sana kuiga utamaduni kutoka nchi za maghalibi kwa lengo la kujiletea maendeleo lakini tunaiga vitu vingi vya kutufilisi mpaka nch na wananchi wake wamekuwa omba omba . tubadilike sasa tuanze kuiga vitu vya faida ili tutoke