Kipchoge baba lao! Ameshinda nishani ya dhahabu kwenye Olympic 2021 kama alivyoahidi

Yaani 2:08 ndio wa kwanza?.
Kuna miaka fulani kwa muda huo unakuta ni mtu wa tisa huko!.
Hata hivyo hongera kwa Legend Eliud.Ni mwamba hasa huyu lejendari.
Hivi Kenenisa bado yupo kwenye game?.
 
Ametuwakilisha vyema wana Afrika ya Mashariki.
Chama Cha Mazezeta wao hawana wanachoendeleza, si michezo si elimu, si teknolojia, si kusaka masoko mapya nje ya nchi, zaidi wajuacho ni kuteka, kubambikia watu kesi, kupora pesa za wanyonge na kuwaita watu wenye mawazo tofauti na wao kwa majina mabaya, mara wapiga dili, mabeberu na sasa wanapewa tuhuma za uwongo za ugaidi.
 
Huyu jamaa ukimbiaji wake ni kama anadundika.. unaweza fikiri hakimbii, kumbe ndio anasonga..
 
Africa tunaikamia tu mos mos bana,I'm Tanzanian so you know I'm a Marathon Runner.
 
Medal ni ya kipchoge hakuna kitu kimeongezeka kwako.

Au nakudanganya??
kwa upande mmoja au mwingine, nitaendelea kufaidika sana na ushindi wake.
huwezi kuelewa maana tangu uzaliwe hadi siku yako ya qiyama hutopata kushuhudia Mtanzania akishinda medali yoyote ya Olimpiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ