Kipele sehemu za ndani za siri

Kipele sehemu za ndani za siri

Nawashukuruni nyote kabisa kwa pamoja, natayari nilishafika Tumaini hosp lakini sijafanikiwa kuonana na Gynaecologist, atakachoniambia i will come back to u, nawashukuru sana sana sanaaaaaaa!!

Nawapenda nyote na Mungu wangu awabariki.
 
For real nawashukuru wote wote kabisa kwa pamoja, sina maneno ya kusema ila kuonyesha shukrani zangu nitafanya mlivyonishauri.
 
Back
Top Bottom