Kipengele katika hatua ya upauaji

ALAF hawapandishi bei...bei ya aluminium ipo juu dunian uko..huon hata aluminium hii ya kina emirates imepanda?..
Mleta mada..mbao za 2.7m ?
Mbao 2x4 12ft ni 5,300 treated..unataka mbao ngap?
Huwez kutaka mbao 500+ kwa bati 120
Site iko wap?
Npo mkoani MTWARA
 
Nashukur Mungu mimi nmepaua yangu ya vyumba 3 kwa gharama za kawaida kabisaa isiyozidi 5.5milion bati pc 80 za Kiwanda cha tantu kiko alhamza au matumbi kulia kama unaenda buguruni baada ya kupita daraja nmeenda mwenyewe Kiwandani sjapata kwa madalali kila bati la G30 mita 3 maarufu kama bati za futi 10 nmenunua 24,500 na msimal ya bati kilo 20, kofia 21 na valey 6 kila moja 10,000

mbalo nilinunua kwa jamaa na huyo fundi anauza bei poa kiasi kwa 6000 kwa mbao ya 4by2 mbao 120 na 2by2 3000 mbao 90 na mafundi bei poa sana wamenifanyia kazi kwa laki 70 labda kwa kuwa sait iko jirani na walipo maana hawatumii nauli wala mda kufika, huyo fundi ana watu wake wanauza mbao pia na mtu akitaka nikuunganishe nao inawekana namba zao ninazo mimi nipo dar mitaa ya tabata kinyerezi..

Kwa mikoani pia wakakuja ni makubaliano yenu na wao tu, pia ukitaka kila kitu anaweza fanya hao mafundi wewe ukaenda tu kikabidhiwa nyumba yako ikiwa tayar imeezekwa yaani akanunua mbao yy mwenyewe na kuzileta saiti pia bati hivo hivo ni ww tu ukitaka ununue kila kitu ww mwenyewe sawa tu wao wapige kazi.. Tusaidiane tupeana connection jmn hali ni ngumu sana tusiwe wachoyo kuelekezana.. Nakaribisha Pm kwa walio serious
 
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu
Wafafanulie.....
 
Umetengeneza tatizo halafu umelisolve mwenye na unatoa na ushauri na connection ya fundi etc.....HATARI SANA
 
ALAF hawapandishi bei...bei ya aluminium ipo juu dunian uko..huon hata aluminium hii ya kina emirates imepanda?..
Mleta mada..mbao za 2.7m ?
Mbao 2x4 12ft ni 5,300 treated..unataka mbao ngap?
Huwez kutaka mbao 500+ kwa bati 120
Site iko wap?
Mbao Mia 500 ni nyumba ya Aina gani
 
Hongera sana hatua uliyofikia. Ila gharama zako zingeweza kushuka zaidi ya hapo kutoka kwa ununuzi wa mbao. 2 x 2 zinauzwa hadi 2500, 2 x 4 nimenunua wiki 5300. Kwenye kupaua ukiwaachia mafundi kila kitu utaumia sana.
 
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu
Tufanyeje mkuu
 
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu
Gharama ya zege la slab kwa room ya 5*4 ni kiasi gani
 
Umepigwa sana kwenye mbao mkuu huko kwingine sisemi
 
Pm ya nini sasa na ushafunguka hapa?
 
aise, kuezeka kumekuwa na mbinde sana siku hizi .mpk nimepata wazo la kutaka kuagiza mabati nje ya nchi.
 
aise, kuezeka kumekuwa na mbinde sana siku hizi .mpk nimepata wazo la kutaka kuagiza mabati nje ya nchi.
Kuna jamaa mmoja yupo pale ni agent wao ila yeye ni agent wa maduka makubwa kupitia alaf,kama unataka nikupatie namba yake
 
Ukiona bati zinavyotengenezwa unaweza kucheka. Viwanda hivi wananunua sheets zinakuwa kama toilet paper ilivyozunguka. Inakuja imepigwa rangi kabisa. Wanaiingiza kwenye mashine ambayo inakata na kutengeneza migongo. Easy sana ndiyo maana unaweza kuorder bati kutoka viwandani. Hili suala la mabei sanasana ni kujibrand tu lakini kama wamenunua sheets za kiwango sawa tofauti hamna.
 
Braza bati zisikuumize kichwa... Mambo ya sunshare sijuh alaf achana nayo... Chukua bati za elfu 25.

Zipo kampuni kibao... Ubora wa bati ni rangi tu kupauka... Ukiezeka umeezeka hakuna mtu anaenda kuruka ruka kule juu..

Misumari na mbao angalia saana makadirio ya mafundi yasikutoe kwenye rail...

Kaza ni kipengele kigumu saana kwenye ujenzi
 
Bati km upo dar we tafuta hizi bei utapata tu ila kubali kutafuta haswa... Uliza uliza saana.

4*2 ni 4500
2*2 ni 2000-2300
8*1 ni 10000

Bati ukitoa kiboko, alaf, sunshare, waja,

Mengi yaliyobakia ni 25,000 kushuka chini.
 
[emoji817][emoji817]
 
Inshu hao Tantu bati zake zinapauka sana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…