Nashukur Mungu mimi nmepaua yangu ya vyumba 3 kwa gharama za kawaida kabisaa isiyozidi 5.5milion bati pc 80 za Kiwanda cha tantu kiko alhamza au matumbi kulia kama unaenda buguruni baada ya kupita daraja nmeenda mwenyewe Kiwandani sjapata kwa madalali kila bati la G30 mita 3 maarufu kama bati za futi 10 nmenunua 24,500 na msimal ya bati kilo 20, kofia 21 na valey 6 kila moja 10,000
mbalo nilinunua kwa jamaa na huyo fundi anauza bei poa kiasi kwa 6000 kwa mbao ya 4by2 mbao 120 na 2by2 3000 mbao 90 na mafundi bei poa sana wamenifanyia kazi kwa laki 70 labda kwa kuwa sait iko jirani na walipo maana hawatumii nauli wala mda kufika, huyo fundi ana watu wake wanauza mbao pia na mtu akitaka nikuunganishe nao inawekana namba zao ninazo mimi nipo dar mitaa ya tabata kinyerezi..
Kwa mikoani pia wakakuja ni makubaliano yenu na wao tu, pia ukitaka kila kitu anaweza fanya hao mafundi wewe ukaenda tu kikabidhiwa nyumba yako ikiwa tayar imeezekwa yaani akanunua mbao yy mwenyewe na kuzileta saiti pia bati hivo hivo ni ww tu ukitaka ununue kila kitu ww mwenyewe sawa tu wao wapige kazi.. Tusaidiane tupeana connection jmn hali ni ngumu sana tusiwe wachoyo kuelekezana.. Nakaribisha Pm kwa walio serious