Kipi afadhali katika ya hivi vitu viwili

Mfupawasokwe

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
83
Reaction score
130
Kati ya kufumaniwa na mke wa mtu na kukutwa unafanya uchawi kipi kina afadhali.
Msala gani una afadhali kati ya hiyo misala miwili?๐Ÿ˜
 
Wote huo ni ujinga tu na wapumbavu tu ndio wanauendekeza๐Ÿšฎ
 
Maswali kama haya huwez kuta kwenye majukwaa hata ya kenya tu jirani zetu wanajadili kwenye mitandao yao sisi bado sn kuanzia raia mmoja mmoja mpk taifa kwa ujumla
Unasema wa kenya hawajadili upuuzi? Fanya tafiti vizuri mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ