Na wale wanaonyoa kiduku sio ujanja ujanja?Kitu ambacho hakina janja janja ni kunyoa nywele tu[emoji1321]
Uki 'bet' utakuwa na akili kuliko anacheza BIKO.Kati ya kubet (kubashiri matokeo ya michezo) na biko na mzuka.
Na je hakuna adhari za kisaikolojia kwa washiriki wa michezo hii
Ahsante mkuu.Uki 'bet' utakuwa na akili kuliko anacheza BIKO.
1. Ukibet unaona kabisa mchakato mzima wa bet yako kushinda au kushindwa. Yaani mechi inachezwa na uonana kila kinachoendelea.
2. Ukicheza BIKO huoni mchakato wowote na wala hawajafafanua mchakato wowote wa jinsi yakupata mshindi. Utasikia tu wametangaza mshindi ila wamempataje haiko wazi.
Bet tu mzee mikeka ndio deal.
Retired.
Kati ya kubet (kubashiri matokeo ya michezo) na biko na mzuka.
Na je hakuna adhari za kisaikolojia kwa washiriki wa michezo hii
Ndio ila inategemea na bookmaker, kuna wengine huanzia tatu, wengine mbili ila kuna wengine hata moja unaweza, zinaitwa "single"Ahsante mkuu.
Unaweza bet mechi moja tu?