Kipi ambacho hakina janja janja nyingi?

Kipi ambacho hakina janja janja nyingi?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Kati ya kubet (kubashiri matokeo ya michezo) na biko na mzuka.
Na je hakuna adhari za kisaikolojia kwa washiriki wa michezo hii
 
Uki 'bet' utakuwa na akili kuliko anacheza BIKO.

1. Ukibet unaona kabisa mchakato mzima wa bet yako kushinda au kushindwa. Yaani mechi inachezwa na uonana kila kinachoendelea.

2. Ukicheza BIKO huoni mchakato wowote na wala hawajafafanua mchakato wowote wa jinsi yakupata mshindi. Utasikia tu wametangaza mshindi ila wamempataje haiko wazi.

Bet tu mzee mikeka ndio deal.

Retired.
 
Ahsante mkuu.
Unaweza bet mechi moja tu?
 
Kati ya kubet (kubashiri matokeo ya michezo) na biko na mzuka.
Na je hakuna adhari za kisaikolojia kwa washiriki wa michezo hii

Athari ya Kisaiokolojia ambayo itakupelekea hadi kuwa Chizi kama siyo Taahira kabisa itakupata endapo pale tu umekuwa ukicheza kwa mwaka mzima sasa na hujawahi kushinda hata tu Tsh 5,000/ lakini mwenzo aliyecheza tu leo mara moja anashinda Milioni 60 hadi Milioni 100. Ila ukiwa unashinda mara kwa mara wala huwezi kuathirika huko Kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom