Kipi bora hapa wakuu?

Kipi bora hapa wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kati ya kufanya kazi serikalin ukalipwa mshahara wa let say 400000 au ufanye katka sekta binafc then ulipwe 700000?naombeni mwongozo wenu,maana ndo nakarbia kumaliza chuo afu kuna dili zinaanza kuninyemelea so natakiwa nifanye maamuzi mapema.
 
Kama hapo kwenye 700000 kama kuna security of employment just go for it, otherwise kama ni ndani nje naona rudisha majeshi serikalini
 
Back
Top Bottom