Kipi bora kati ya Kuishi Campus au kupanga nje ??

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
kupi panafaa jamani? Msichoke tuelekezeni tu hapa na maana kwamba bora ukae hostel au ukapange kitaa? Kwa nini?
Wakuu Mimi sina experience ya maisha ya boarding shuleni or campus chuoni! Wenye uzoefu naamini mpo, niimani yangu kuwa TCU watanipangia chuo kimoja wapo kati ya nilivyochagua, coz tangu changes zilipotokea profile yangu niliandikiwa
PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED,
nipeni mchanganuo wa wapi panaunafuu wa maisha kati ya in campus or out of campus, with full mifano na evidences
 
Pote panafaa kutegemea na akili yako na uwezo wako wa kufanya maamuzi lakini kama ni mtu wa kupelekeshwa na kampani bora nenda hostel
 
Wakuu Mimi sina experience ya maisha ya boarding shuleni or campus chuoni! Wenye uzoefu naamini mpo, niimani yangu kuwa TCU watanipangia chuo kimoja wapo kati ya nilivyochagua, coz tangu changes zilipotokea profile yangu niliandikiwa
PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED,
nipeni mchanganuo wa wapi panaunafuu wa maisha kati ya in campus or out of campus, with full mifano na evidences
 
unachouliza kina tegemea, kote (nje au ndani) ya campus kuna faida na hasara zake. Ukitaka ushauri sema kwanza wew unapendelea maisha ya namna gani? Uhuru je? Na mambo mengne kama hayo. Mf. Mimi naishi nje kwasababu zifuatazo:
1. Nisehemu nzuri ya mimi kujifunza maisha kabla ya kuelekea mtaani baada ya miaka 3.

2. Sipendi kuishi na watu wenye tabia tofautitofauti kama ulevi, wizi, nk. Hostel unaweza kupelekwa exile hadi ukakoma. Hostel watu wanaishi kuanzia wawiliwawili hadi 6 chumba 1, mi sipendi.

3. Napenda uhuru, ninamudu kujizuia (self control) na hvyo sioni shda kuish pekeangu.

4. Napenda kujipikia chakula, hostel nyingi hawaruhusiwa kujipikia, wanahofia ajali kama za moto nk. Nikiwa nje ya chuo najipikia na kufanya mambo yangu mengine ya muhmu.

5. Pia ukiwa hostel, hakuna privacy, kule kila mtu anaingia, awe wa kike au wa kiume. Sometime kuna mambo ambayo sitopenda kumshirikisha mtu yeyote, hvyo kigetogeto inakuwa poa zaidi.

Kwahiyo kutokana na vigezo kama hvyo nilivyotaja, ilisababisa mimi kuchukua maamuzi ya kukaa nje. Nawe pia unaweza kutafakari na kufanya maamuzi sahihi.

NB: Nje kuna changamoto za wezi, haswa wa vitu kama laptops nk, so unahitaji kuwa makini.
 
Asante sana mkuu! Nje nimepapenda! Pananifaa coz napenda kuishi kwa uhuru zaidi,. Vip kuhusu gharama za maisha wapi ni expensive zaidi.
 
Omba usipate chuo jijini Dar, mtaani Ndo main campus yako vyuo vingi vinafurika hakuna hostel fikiria kama ARU hostel Ni watu 401 tu Ndo wanakaa Na intake mpo 1800, utapanga wapi, maeneo ya karibu Na chuo Bei za Vyumba zimechangamka mno ambako huko mkipata Chumba mtaani mnakaa zaidiya 2
 
Back
Top Bottom