mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
- Thread starter
- #61
kwahyo mafnzo kwa mujib wa sheria hawaconsid unaanza upya
Ndio hapo Sasa maana na Mimi mujibu wa sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahyo mafnzo kwa mujib wa sheria hawaconsid unaanza upya
Mimi nakushauri sana nenda kwanza kazini unajua watu wengi mnadanganyana kwa kuwa hamjui nini kipo jeshini labla mm nichukue muda huu kukuelimisha kwani nipo Jeshini kama affliated member
Unaenda kwanza kwa mujibu miezi 6 hii ni lazima uende then ukirudi unatakiwa utumikie Jeshi kwa muda usiozidi miaka miwili na katika kipindi hicho kuna nafasi ambazo hutangazwa kama utachaguliwa basi utapata nafasi ya kenda kuchukua mafunzo ya ajira kwa miezi 6. Hii inaitwa Recruit Kozi ukifanikiwa hapo basi utaajiriwa rasm kwa cheo cha chini Private kupanda juu ni juhudi yako. ukitaka maelezo zaidi Ni PM ili nikutumie namba unipigie nikuelekeze vizuri
Nenda Chuo kasome, usiwe mwoga ajira zipo Tu mdogo wangu.
Kwa taarifa yako kwasasa jeshi cdhani kama litaajiri tena wenye digrii. Wameshaona madhara yenu kuwa mnapenda mkiajiriwa nyie mnachowaza ni nyota tu na sio kufanya kazi. Kwani unafikiri uprivate si cheo, mnakuwa hampendi kusota hata kidogo. Unapopata nafasi ya kuingia jeshini ingia kwanza kusona utasona tu na hicho unachokitaka utapata kama ni stahili yako, kama hiyo nafasi uliipata ukaiachia tayari umeshapoteza.
Me napingana na wewe sababu form four na darasa la saba ndio wanaanza na u private lakini form six na chuo wanaanza na nyota.
Mkuu una ubishi ambao hauna maana kabisa.
Kasome ww hata mm iyo nafasi nilipata ya kwenda jeshi walichukua watu wa sayansi mm nilisoma PGM nilijiandikisha wakatuita nilipgiwa cm niende mgulani pale kulasini mana tulienda jeshi la jkt mujibu wa sheria mm nilikuwa Kambi ya oljoro cjataka kwenda coz elimu ya form 6 ndogo sana yn nw nipo zangu chuo nalisongesha mana ukienda jeshi usizani unaenda piga coz ya yule nyota moja. Kwa moja unanza na uprivate zen ndo uje nyota zio kazi ndogo mkuu,xo we nenda chuo tu..
Me napingana na wewe sababu form four na darasa la saba ndio wanaanza na u private lakini form six na chuo wanaanza na nyota.
Maraia mnadanganyana sana halaf mnabisha hamjui kitu ingia jeshi ukiingia form six una science utaenda degree ya military science Ujeruman,Uingereza,Ufaransa na kwingine pata ajira ujisomeshe achen utoto inakera kisa mtoto wa kota unajifanya unalijua jesh halaf unabishana usichokijua kule inaangaliwa pia usalama wa damu na utimamu wa mwili