Kipi bora kati ya kwenda jeshini na chuo kikuu kwa mtu aliyesoma science


Juhudi zipi mkuu?
 
Nenda Chuo kasome, usiwe mwoga ajira zipo Tu mdogo wangu.
 
Kwa taarifa yako kwasasa jeshi cdhani kama litaajiri tena wenye digrii. Wameshaona madhara yenu kuwa mnapenda mkiajiriwa nyie mnachowaza ni nyota tu na sio kufanya kazi. Kwani unafikiri uprivate si cheo, mnakuwa hampendi kusota hata kidogo. Unapopata nafasi ya kuingia jeshini ingia kwanza kusona utasona tu na hicho unachokitaka utapata kama ni stahili yako, kama hiyo nafasi uliipata ukaiachia tayari umeshapoteza.
 

Me napingana na wewe sababu form four na darasa la saba ndio wanaanza na u private lakini form six na chuo wanaanza na nyota.
 

Sasa wewe unataka uingie jeshini bila Depo??
 
Me napingana na wewe sababu form four na darasa la saba ndio wanaanza na u private lakini form six na chuo wanaanza na nyota.

Sio kweli. Hiyo ilikuwa kwenye 2006. Mambo yanabadilika, sio kila siku utaratibu ni ule ule. Kwasasa ni kuanzia diploma. Ndio wanaanzia ba nyota form six yako fungia kabatini
 
Maraia mnadanganyana sana halaf mnabisha hamjui kitu ingia jeshi ukiingia form six una science utaenda degree ya military science Ujeruman,Uingereza,Ufaransa na kwingine pata ajira ujisomeshe achen utoto inakera kisa mtoto wa kota unajifanya unalijua jesh halaf unabishana usichokijua kule inaangaliwa pia usalama wa damu na utimamu wa mwili
 

Nimeipenda hii mkuu, wanadanganyana sana. Then hawajui na bado wanabisha.
 

Hapana si kanakwamba hatulijui hilo tunajua lakini elimu ya form six miaka hii sio kitu...huoni akina major nani sijui..captain wote wamesoma sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…