Kipi bora kati ya mtaji mdogo na mkopo kwa ajili ya biashara?

sawe4u

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
973
Reaction score
573
Mr. & Mrs na vijana wengine
Naomba ushauri wenu niko njiani kuanza biashara ya biashara ya Tgo pesa na mtaji niliokuwa nao ni (Tsh300000] tuu je nianze na mtaji huu mdogo au niongee kwakuchukua mkopo japo mahitaji ya eneo hili wateja wa aina zote wapo (wa pesa kidogo na kubwa )
 
mkopo usichukue zungusha hiyo hiyo... 150,000 cash na 150,000 float.... anza biashara
 
Mr. & Mrs na vijana wengine
Naomba ushauri wenu niko njiani kuanza biashara ya biashara ya Tgo pesa na mtaji niliokuwa nao ni (Tsh300000] tuu je nianze na mtaji huu mdogo au niongee kwakuchukua mkopo japo mahitaji ya eneo hili wateja wa aina zote wapo (wa pesa kidogo na kubwa )
Mkuu naomba kujua imekukost kiasi gani kupata line ya uwakala na eneo la biashara naomba experience yako nina laki tano nataka kuanza hiyo business mkuu?
Nawasilisha hoja
 
Mkuuu kuanzisha biashara kunatokana sana na mazingra yako ila laini ya tgo pesa nilinunua tuu kwa MTU
 
Back
Top Bottom